Afisa Ukaguzi wa Meli Daraja la II-UNGUJA
2026-07-29T18:56:54+00:00
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_7106/logo/Zanzibar%20Maritime%20Authority%20(ZMA).png
https://www.zma.go.tz/
FULL_TIME
UNGUJA
Tanzania
00000
Tanzania
Transportation, Distribution, and Logistics
Science & Engineering, Transportation & Logistics, Civil & Government
2026-08-10T17:00:00+00:00
8
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Responsibilities or duties
- Kukagua meli na kujiridhisha kuwa ziko katika kiwango cha usalama na kuwasilisha ripoti kwa Mkuu wa kazi;
- Kuhakikisha taratibu, miongozo na Kanuni za usafiri baharini za Kitaifa na Kimataifa zinafuatwa kwa mujibu wa sheria.
- Kukagua na kuthibitisha taarifa za nyaraka za meli na Wafanyakazi wake;
- Kukagua vyombo vyote vya baharini kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo;
- Kuweka kumbukumbu ya meli zilizokaguliwa, zilizo kizuizini na taarifa nyengine zinazohusiana na ukaguzi huo;
- Kufanya uchunguzi na kukusanya taarifa zitakazotumika katika uchunguzi wa ajali.
Qualifications or requirements
- Awe ni Mzanzibari.
- Awe na umri usiozidi miaka 40
- Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Masuala ya Uhandisi wa Meli au Muongozaji wa Meli kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Mwenye cheti cha umahiri daraja la II (Certificate of Competence Class II) na kuendelea ni sifa ya ziada.
- Awe na Ujuzi wa kutumia kompyuta
Experience needed
Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

- Ujuzi wa kutumia kompyuta
- Mzanzibari
- Umri usiozidi miaka 40
- Shahada ya kwanza katika fani ya Masuala ya Uhandisi wa Meli au Muongozaji wa Meli kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Cheti cha umahiri daraja la II (Certificate of Competence Class II) na kuendelea ni sifa ya ziada.
- Ujuzi wa kutumia kompyuta
- Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada
JOB-6a6a4cf66facc
Vacancy title:
Afisa Ukaguzi wa Meli Daraja la II-UNGUJA
[Type: FULL_TIME, Industry: Transportation, Distribution, and Logistics, Category: Science & Engineering, Transportation & Logistics, Civil & Government]
Jobs at:
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Deadline of this Job:
Monday, August 10 2026
Duty Station:
UNGUJA | Tanzania
Summary
Date Posted: Wednesday, July 29 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Zanzibar Maritime Authority (ZMA) jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Responsibilities or duties
- Kukagua meli na kujiridhisha kuwa ziko katika kiwango cha usalama na kuwasilisha ripoti kwa Mkuu wa kazi;
- Kuhakikisha taratibu, miongozo na Kanuni za usafiri baharini za Kitaifa na Kimataifa zinafuatwa kwa mujibu wa sheria.
- Kukagua na kuthibitisha taarifa za nyaraka za meli na Wafanyakazi wake;
- Kukagua vyombo vyote vya baharini kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo;
- Kuweka kumbukumbu ya meli zilizokaguliwa, zilizo kizuizini na taarifa nyengine zinazohusiana na ukaguzi huo;
- Kufanya uchunguzi na kukusanya taarifa zitakazotumika katika uchunguzi wa ajali.
Qualifications or requirements
- Awe ni Mzanzibari.
- Awe na umri usiozidi miaka 40
- Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Masuala ya Uhandisi wa Meli au Muongozaji wa Meli kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Mwenye cheti cha umahiri daraja la II (Certificate of Competence Class II) na kuendelea ni sifa ya ziada.
- Awe na Ujuzi wa kutumia kompyuta
Experience needed
Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada
Work Hours: 8
Experience in Months: 12
Level of Education: bachelor degree
Job application procedure
Apply
Application Link: Click Here to Apply Now
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION