AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II-UNGUJA
2026-07-29T19:03:00+00:00
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_7106/logo/Zanzibar%20Maritime%20Authority%20(ZMA).png
https://www.zma.go.tz/
FULL_TIME
Tanzania
Tanzania
00000
Tanzania
Transportation, Distribution, and Logistics
Transportation & Logistics, Civil & Government
2026-08-10T17:00:00+00:00
8
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Responsibilities or duties
- Kupitia na kusimamia utekelezaji wa kanuni na taratibu mbali mbali zilizopo kwa watoa huduma za usafirishaji na watoa huduma wengineyo.
- Kusimamia utekelezaji wa kanuni za viwango za ulipaji wa tozo na malipo yanayohusu Leseni na vibali vya usafirishaji.
- Kuthibiti mawakala wa usafirishaji baharini.
- Kuweka viwango na kanuni za utoaji wa huduma.
- Kutoa maoni na ushauri juu ya usajili wa wakala wa uingizaji na utoaji wa mizigo na wengineo.
- Kukusanya takwimu za usafirishaji kwa Vyombo vinavyoingia na kutoka bandarini.
- Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya usafirishaji.
Qualifications or requirements
Awe ni Mzanzibari.
Awe na umri usiozidi miaka 40
Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya Usafirishaji (Logistic and Transport Management) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Experience needed
Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

- Ujuzi wa kutumia kompyuta.
- Mzanzibari.
- Umri usiozidi miaka 40
- Elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya Usafirishaji (Logistic and Transport Management) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Ujuzi wa kutumia kompyuta.
- Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada
JOB-6a6a4e6460b4d
Vacancy title:
AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II-UNGUJA
[Type: FULL_TIME, Industry: Transportation, Distribution, and Logistics, Category: Transportation & Logistics, Civil & Government]
Jobs at:
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Deadline of this Job:
Monday, August 10 2026
Duty Station:
Tanzania | Tanzania
Summary
Date Posted: Wednesday, July 29 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Zanzibar Maritime Authority (ZMA) jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Responsibilities or duties
- Kupitia na kusimamia utekelezaji wa kanuni na taratibu mbali mbali zilizopo kwa watoa huduma za usafirishaji na watoa huduma wengineyo.
- Kusimamia utekelezaji wa kanuni za viwango za ulipaji wa tozo na malipo yanayohusu Leseni na vibali vya usafirishaji.
- Kuthibiti mawakala wa usafirishaji baharini.
- Kuweka viwango na kanuni za utoaji wa huduma.
- Kutoa maoni na ushauri juu ya usajili wa wakala wa uingizaji na utoaji wa mizigo na wengineo.
- Kukusanya takwimu za usafirishaji kwa Vyombo vinavyoingia na kutoka bandarini.
- Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya usafirishaji.
Qualifications or requirements
Awe ni Mzanzibari.
Awe na umri usiozidi miaka 40
Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya Usafirishaji (Logistic and Transport Management) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Experience needed
Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada
Work Hours: 8
Experience in Months: 12
Level of Education: bachelor degree
Job application procedure
Period: 29/07/2026 - 10/08/2026
Click here to apply
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION