Udereva
2026-02-16T10:11:33+00:00
The School of St Jude
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_3336/logo/The%20School%20of%20St%20Jude.jpg
https://www.schoolofstjude.org/
FULL_TIME
Arusha
Arusha
00000
Tanzania
Professional Services
Transportation & Logistics, Education
2026-02-19T17:00:00+00:00
8
Kuhusu Shule
Shule ya St Jude ni shule inayotoa elimu ya hisani ndani ya Tanzania. St Jude's inafadhiliwa na wafuasi wa ukarimu kutoka kote uli kote ulimwenguni ambao hufanya dhamira yetu ya kuwapa wanafunzi wa Kitanzania mahiri na wanaotoka kwenye mazingira ya kimaskini elimu bure na yenye ubora.
Shule ya St.Jude inayofuraha kutangaza nafasi Moja (1) ya kazi ya Udereva kwa watanzania wenye sifa stahiki.
Kazi na Majukumu
- Kuendesha magari ya shule kwa uangalifu na umakini
- Kuwa makinii na kukagua mara kwa mara gari ulilokabidihiwa kuhakikisha lipo salama kabla ya na wakati wa kuliendesha
- Kutunza taarifa za gari/vipuri/mafuta na mabadiliko yoyote ikiwemo kujaza "log book" kwa usahihi na kwa kila tukio na safari za gari
- Kuripoti kwa wakati muda wa gari kukarabatiwa na/au kwenda "service"
- Kufuata taratibu sheria kanuni na miongozo ya usalama barabarani
- Kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya shule na taasisi husika pale linapotokea tatizo kwa gari la shule unaloendesha
- Kufuata mipangilio na ratiba za magari na maelekezo ya Dereva Mkuu kuhusu Route za magari
- Kushiriki sikukuu na shughuli za kijamii za The School of St. Jude mara zipangwapo
- Kutoa taarifa ya maandishi ikiwa gari unaloendesha litapata hitilafu au ajali itakayozuia safari iliyopangwa au ruti kuendelea.
Sifa za Mwombaji
- Awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 35.
- Ajue kusoma na kuandika vizuri kwa Kiswahili. Kuzungumza, kuandika na/au kusoma klingereza itaboresha omo
- Awe Awe ne husika husika eseni b lereva va daraia "C-plain" na HGV "Class E" pamoja na vyeti vya madaraja hayo
- Gheti cha Udereva kutoka kwenye chuo kinachotambulika
- Awe na uzoefu wa angalau miaka miwili (2) kuendeshe mabasi
Vigezo na Masharti
- Mwombaji anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo kikamilifu
- wasitu binatsi
- Barua ya uhakiki wa leseni kutoka polisi
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa
- ya shule pamoja na magari ya mizigo
- Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtaa anapoish
- Kuambatanisha cheti/nyaraka za kughushi itapelekea kuchukuliwa hatua za kis

- Udereva wa C-class na HGV Class E
- Ujuzi wa Kiswahili (kusoma, kuandika, kuzungumza)
- Ujuzi wa Kiingereza (kusoma, kuandika, kuzungumza) - itaboresha
- Mtanzania
- Umri usiopungua miaka 35
- Leseni ya udereva ya C-class na HGV Class E
- Cheti cha udereva kutoka chuo kinachotambulika
- Uzoefu wa angalau miaka miwili (2) kuendesha mabasi
- Barua ya uhakiki wa leseni kutoka polisi
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa
- Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtaa
JOB-6992ed55bdff6
Vacancy title:
Udereva
[Type: FULL_TIME, Industry: Professional Services, Category: Transportation & Logistics, Education]
Jobs at:
The School of St Jude
Deadline of this Job:
Thursday, February 19 2026
Duty Station:
Arusha | Arusha
Summary
Date Posted: Monday, February 16 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about The School of St Jude
The School of St Jude jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Kuhusu Shule
Shule ya St Jude ni shule inayotoa elimu ya hisani ndani ya Tanzania. St Jude's inafadhiliwa na wafuasi wa ukarimu kutoka kote uli kote ulimwenguni ambao hufanya dhamira yetu ya kuwapa wanafunzi wa Kitanzania mahiri na wanaotoka kwenye mazingira ya kimaskini elimu bure na yenye ubora.
Shule ya St.Jude inayofuraha kutangaza nafasi Moja (1) ya kazi ya Udereva kwa watanzania wenye sifa stahiki.
Kazi na Majukumu
- Kuendesha magari ya shule kwa uangalifu na umakini
- Kuwa makinii na kukagua mara kwa mara gari ulilokabidihiwa kuhakikisha lipo salama kabla ya na wakati wa kuliendesha
- Kutunza taarifa za gari/vipuri/mafuta na mabadiliko yoyote ikiwemo kujaza "log book" kwa usahihi na kwa kila tukio na safari za gari
- Kuripoti kwa wakati muda wa gari kukarabatiwa na/au kwenda "service"
- Kufuata taratibu sheria kanuni na miongozo ya usalama barabarani
- Kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya shule na taasisi husika pale linapotokea tatizo kwa gari la shule unaloendesha
- Kufuata mipangilio na ratiba za magari na maelekezo ya Dereva Mkuu kuhusu Route za magari
- Kushiriki sikukuu na shughuli za kijamii za The School of St. Jude mara zipangwapo
- Kutoa taarifa ya maandishi ikiwa gari unaloendesha litapata hitilafu au ajali itakayozuia safari iliyopangwa au ruti kuendelea.
Sifa za Mwombaji
- Awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 35.
- Ajue kusoma na kuandika vizuri kwa Kiswahili. Kuzungumza, kuandika na/au kusoma klingereza itaboresha omo
- Awe Awe ne husika husika eseni b lereva va daraia "C-plain" na HGV "Class E" pamoja na vyeti vya madaraja hayo
- Gheti cha Udereva kutoka kwenye chuo kinachotambulika
- Awe na uzoefu wa angalau miaka miwili (2) kuendeshe mabasi
Vigezo na Masharti
- Mwombaji anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo kikamilifu
- wasitu binatsi
- Barua ya uhakiki wa leseni kutoka polisi
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa
- ya shule pamoja na magari ya mizigo
- Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtaa anapoish
- Kuambatanisha cheti/nyaraka za kughushi itapelekea kuchukuliwa hatua za kis
Work Hours: 8
Experience in Months: 24
Level of Education: professional certificate
Job application procedure
Maombi yawasilishwe katika Shule ya St. Jude Kampasi ya Moshono kabla ya tarehe 19/02/2026.
Maombi yatakayowasilishwa baada ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.
TUTAWASILIANA NA WALE TU WATAKAOKIDHI VIGEZO NA SIFA KWA AJILI YA MAJARIBIO NA MAHOJIANO!
ANGALIZO:
TAFADHALI KUWA MAKINI NA MATENDO YA UDANGANYIFU KATIKA MATANGAZO YA KAZI NA MCHAKATO WA AJIRA. SHULE YA ST JUDE HAIOMBI MALIPO KATIKA HATUA YOYOTE YA MCHAKATO WA KUAJIRI. MAOMBI YOYOTE YA MALIPO YAKATALIWE NA KURIPOTIWA KWA MAMLAKA YA UTEKELEZAJI WA SHERIA ZA MITAA KWA HATUA STAHIKI.
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION