4 Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja LA II
2026-01-02T06:02:15+00:00
Ludewa District Council
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_5117/logo/ludewa.jpg
https://ludewadc.go.tz/
FULL_TIME
ludewa
Ludewa
00000
Tanzania
Public Administration, and Government
Admin & Office, Civil & Government
2026-01-11T17:00:00+00:00
8
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa
4 Positions
Duties and Responsibilities
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
- Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
- Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
- Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
- Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
- Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
- Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
- Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
- Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

- Word
- Excel
- Powerpoint
- Internet
- E-mail
- Publisher
- Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six)
- Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili.
- Kufaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja
- Kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
JOB-69575f6728e7d
Vacancy title:
4 Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja LA II
[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Admin & Office, Civil & Government]
Jobs at:
Ludewa District Council
Deadline of this Job:
Sunday, January 11 2026
Duty Station:
ludewa | Ludewa
Summary
Date Posted: Friday, January 2 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Ludewa District Council
Ludewa District Council jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa
4 Positions
Duties and Responsibilities
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
- Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
- Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
- Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
- Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
- Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
- Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
- Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
- Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Work Hours: 8
Experience in Months: 12
Level of Education: associate degree
Job application procedure
Application Period
29/12/2025 - 11/01/2026
Click Here to Apply Now
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION