Operations Intern job at Kaliman Electric
New
Website :
1 Day Ago
Linkedid Twitter Share on facebook
Operations Intern
2026-07-29T13:14:40+00:00
Kaliman Electric
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_6501/logo/Kaliman%20Electric.png
INTERN
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Engineering Services
Business Operations, Energy & Mining, Transportation & Logistics
TZS
MONTH
2026-07-31T17:00:00+00:00
8

Background information about the job or company (e.g., role context, company overview)

Kaliman Electric Company inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wahitimu au wanafunzi wanaohitaji kufanya mafunzo kwa vitendo (Internship) katika nafasi ya Operations Intern. Huu ni mwaliko kwa vijana wachapokazi na wenye nia ya kujifunza na kukua kitaaluma katika sekta ya nishati na uendeshaji.

Muhtasari wa Nafasi ya Kazi

Jina la Nafasi: Operations Intern

Mwajiri: Kaliman Electric Company

Aina ya Kazi: Internship / Mafunzo kwa Vitendo

Eneo la Kazi: Dar es Salaam, Tanzania

Sifa na Vigezo vya Mwombaji

Ili uweze kufikiriwa katika nafasi hii, mwombaji unapaswa kuwa na sifa zifuatazo:

Elimu: Awe na Shahada (Degree) au Stashahada (Diploma) katika fani ya Operations Management, Business Administration, Logistics, Supply Chain Management au fani nyingine inayofanana.

Ujuzi wa Kompyuta: Awe na uwezo mzuri wa kutumia kompyuta, hususan programu za Microsoft Office (Word, Excel, na PowerPoint).

Mawasiliano: Ujuzi mzuri wa mawasiliano ya mdomo na maandishi, pamoja na uwezo wa kushirikiana vyema na wafanyakazi wenzake (Team player).

Nia ya Kukua: Awe mtu tayari kujifunza mambo mapya kwa haraka, kufanya kazi kwa kujituma, na mwenye nidhamu ya kazi.

  • Ujuzi mzuri wa mawasiliano ya mdomo na maandishi
  • Uwezo wa kushirikiana vyema na wafanyakazi wenzake (Team player)
  • Uwezo mzuri wa kutumia kompyuta, hususan programu za Microsoft Office (Word, Excel, na PowerPoint)
  • Tayari kujifunza mambo mapya kwa haraka
  • Kufanya kazi kwa kujituma
  • Mwenye nidhamu ya kazi
  • Shahada (Degree) au Stashahada (Diploma) katika fani ya Operations Management, Business Administration, Logistics, Supply Chain Management au fani nyingine inayofanana.
bachelor degree
12
JOB-6a69fcc0ced3b

Vacancy title:
Operations Intern

[Type: INTERN, Industry: Engineering Services, Category: Business Operations, Energy & Mining, Transportation & Logistics]

Jobs at:
Kaliman Electric

Deadline of this Job:
Friday, July 31 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Wednesday, July 29 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Kaliman Electric
Kaliman Electric jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Background information about the job or company (e.g., role context, company overview)

Kaliman Electric Company inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wahitimu au wanafunzi wanaohitaji kufanya mafunzo kwa vitendo (Internship) katika nafasi ya Operations Intern. Huu ni mwaliko kwa vijana wachapokazi na wenye nia ya kujifunza na kukua kitaaluma katika sekta ya nishati na uendeshaji.

Muhtasari wa Nafasi ya Kazi

Jina la Nafasi: Operations Intern

Mwajiri: Kaliman Electric Company

Aina ya Kazi: Internship / Mafunzo kwa Vitendo

Eneo la Kazi: Dar es Salaam, Tanzania

Sifa na Vigezo vya Mwombaji

Ili uweze kufikiriwa katika nafasi hii, mwombaji unapaswa kuwa na sifa zifuatazo:

Elimu: Awe na Shahada (Degree) au Stashahada (Diploma) katika fani ya Operations Management, Business Administration, Logistics, Supply Chain Management au fani nyingine inayofanana.

Ujuzi wa Kompyuta: Awe na uwezo mzuri wa kutumia kompyuta, hususan programu za Microsoft Office (Word, Excel, na PowerPoint).

Mawasiliano: Ujuzi mzuri wa mawasiliano ya mdomo na maandishi, pamoja na uwezo wa kushirikiana vyema na wafanyakazi wenzake (Team player).

Nia ya Kukua: Awe mtu tayari kujifunza mambo mapya kwa haraka, kufanya kazi kwa kujituma, na mwenye nidhamu ya kazi.

Work Hours: 8

Experience in Months: 12

Level of Education: bachelor degree

Job application procedure
Interested in applying for this job? Click here to submit your application now.

Kama unakidhi vigezo vilivyotajwa hapo juu, tafadhali tuma Wasifu wako (CV) pamoja na Barua ya Maombi kwenda kwa Idara ya Rasilimali Watu kupitia barua pepe ifuatayo:

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Friday, July 31 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 29-07-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 29-07-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.