Health Assistant II (Mortuary Attendant) job at Siha District Council
New
1 Day Ago
Linkedid Twitter Share on facebook
Health Assistant II (Mortuary Attendant)
2026-07-25T07:30:35+00:00
Siha District Council
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_6038/logo/Siha%20Council.jpeg
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Public Administration, and Government
Healthcare, Cleaning & Facilities, Civil & Government
TZS
MONTH
2026-08-06T17:00:00+00:00
8

Duties and Responsibilities

  • Kusafisha wodi, maeneo ya hospitali, kumbi na vifaa;
  • Kusafisha na kuua vijidudu katika chumba cha kuhifadhia maiti kila siku;
  • Kugawa mashuka ya vitanda, mablanketi na magodoro katika kumbi za malazi;
  • Kuwasaidia wagonjwa wenye ulemavu wakati wa kuoga au kutumia choo;
  • Kuwasaidia kulisha wagonjwa wasioweza kujilisha wenyewe;
  • Kukusanya na kupeleka nguo za wagonjwa kwenye sehemu ya kufulia, na kutunza kwa usalama vifaa na zana za usafi;
  • Kukusanya na kupeleka sampuli za vipimo vya wagonjwa maabara;
  • Kufanya majukumu mengine yanayohusiana na kazi hiyo kama atakavyopangiwa na msimamizi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE), pamoja na Cheti cha mwaka mmoja katika fani zinazohusiana na afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

  • Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE)
  • Cheti cha mwaka mmoja katika fani zinazohusiana na afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
professional certificate
No Requirements
JOB-6a64661b082d7

Vacancy title:
Health Assistant II (Mortuary Attendant)

[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Healthcare, Cleaning & Facilities, Civil & Government]

Jobs at:
Siha District Council

Deadline of this Job:
Thursday, August 6 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Saturday, July 25 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Siha District Council
Siha District Council jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Duties and Responsibilities

  • Kusafisha wodi, maeneo ya hospitali, kumbi na vifaa;
  • Kusafisha na kuua vijidudu katika chumba cha kuhifadhia maiti kila siku;
  • Kugawa mashuka ya vitanda, mablanketi na magodoro katika kumbi za malazi;
  • Kuwasaidia wagonjwa wenye ulemavu wakati wa kuoga au kutumia choo;
  • Kuwasaidia kulisha wagonjwa wasioweza kujilisha wenyewe;
  • Kukusanya na kupeleka nguo za wagonjwa kwenye sehemu ya kufulia, na kutunza kwa usalama vifaa na zana za usafi;
  • Kukusanya na kupeleka sampuli za vipimo vya wagonjwa maabara;
  • Kufanya majukumu mengine yanayohusiana na kazi hiyo kama atakavyopangiwa na msimamizi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE), pamoja na Cheti cha mwaka mmoja katika fani zinazohusiana na afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Work Hours: 8

Experience: No Requirements

Level of Education: professional certificate

Job application procedure

Application Period: 24/07/2026 - 06/08/2026

Click Here to Apply Now

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Thursday, August 6 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 25-07-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 25-07-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.