Dereva Daraja LA IIB job at Ellen White School
Website :
4 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook
Dereva Daraja LA IIB
2026-07-07T12:43:40+00:00
Ellen White School
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_3441/logo/Ellen%20White%20School.jpg
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Education, and Training
Transportation & Logistics, Installation, Maintenance & Repair, Cleaning & Facilities
TZS
MONTH
2026-07-20T17:00:00+00:00
8

Ellen White School

DEREVA DARAJA LA IIB – Nafasi 4

5.1 MAJUKUMU YA KAZI

  • (i) Kuwachukua wanafunzi kuwaleta shuleni na kuwarudisha kwenye vituo vyao vya kushukia.
  • (ii) Kuwapeleka watumishi nje ya kituo cha kazi kwa kazi za nje.
  • (iii) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari.
  • (iv) Kufanya usafi na matengenezo madogo madogo ya gari.
  • (v) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali.
  • (vi) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari“logbook” kwa safari zote.
  • (vii) Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

5.2 SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa mwombaji na awe:-

  • (i) Amehitimu angalau Elimu ya msingi (Darasa la saba ) au kidato cha Nne.
  • (ii) Awe na leseni halali ya Daraja C, na C1 yenye uzoefu wa angalau miaka miwili bila kusababisha ajali.
  • (iii) Amehitimu mafunzo ya uendeshaji wa magari ya abiria (PSV) kutoka VETA, NIT au chuo kinachotambuliwa na serikali. Mwombaji mwenye cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la II atapewa kipaumbele.

5.3 NGAZI YA MSHAHARA

EWOS-B KUANZIA TZS 400,000.

  • Kuwachukua wanafunzi kuwaleta shuleni na kuwarudisha kwenye vituo vyao vya kushukia.
  • Kuwapeleka watumishi nje ya kituo cha kazi kwa kazi za nje.
  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari.
  • Kufanya usafi na matengenezo madogo madogo ya gari.
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali.
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari“logbook” kwa safari zote.
  • Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
  • Valid C, and C1 driving license
  • PSV driving training
  • Vehicle inspection
  • Basic vehicle maintenance
  • Document handling
  • Logbook maintenance
  • Completed at least Primary Education (Standard Seven) or Form Four.
  • Possess a valid Class C, and C1 driving license with at least two years of accident-free experience.
  • Completed Passenger Service Vehicle (PSV) driving training from VETA, NIT, or a government-recognized college. Applicants with a Grade II Technical Test Certificate will be given priority.
high school
24
JOB-6a4cf47c4ad95

Vacancy title:
Dereva Daraja LA IIB

[Type: FULL_TIME, Industry: Education, and Training, Category: Transportation & Logistics, Installation, Maintenance & Repair, Cleaning & Facilities]

Jobs at:
Ellen White School

Deadline of this Job:
Monday, July 20 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Tuesday, July 7 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Ellen White School
Ellen White School jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Ellen White School

DEREVA DARAJA LA IIB – Nafasi 4

5.1 MAJUKUMU YA KAZI

  • (i) Kuwachukua wanafunzi kuwaleta shuleni na kuwarudisha kwenye vituo vyao vya kushukia.
  • (ii) Kuwapeleka watumishi nje ya kituo cha kazi kwa kazi za nje.
  • (iii) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari.
  • (iv) Kufanya usafi na matengenezo madogo madogo ya gari.
  • (v) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali.
  • (vi) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari“logbook” kwa safari zote.
  • (vii) Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

5.2 SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa mwombaji na awe:-

  • (i) Amehitimu angalau Elimu ya msingi (Darasa la saba ) au kidato cha Nne.
  • (ii) Awe na leseni halali ya Daraja C, na C1 yenye uzoefu wa angalau miaka miwili bila kusababisha ajali.
  • (iii) Amehitimu mafunzo ya uendeshaji wa magari ya abiria (PSV) kutoka VETA, NIT au chuo kinachotambuliwa na serikali. Mwombaji mwenye cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la II atapewa kipaumbele.

5.3 NGAZI YA MSHAHARA

EWOS-B KUANZIA TZS 400,000.

Work Hours: 8

Experience in Months: 24

Level of Education: high school

Job application procedure

Click here to apply

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Logistics/ Transportation/ Procurement jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Monday, July 20 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 07-07-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 07-07-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.