Afisa Usafirishaji Daraja LA IIB job at Ellen White School
Website :
4 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook
Afisa Usafirishaji Daraja LA IIB
2026-07-07T12:16:13+00:00
Ellen White School
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_3441/logo/Ellen%20White%20School.jpg
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Education, and Training
Transportation & Logistics, Business Operations, Management
TZS
MONTH
2026-07-20T17:00:00+00:00
8

Ellen White School

AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA IIB– Nafasi 1

3.1 MAJUKUMU YA KAZI

  • Kupanga na kuratibu ratiba za magari ya shule kwa ufanisi.
  • Kutayarisha gharama za uendeshaji wa usafiri kwa ajili ya kusaidia kutoa maamuzi.
  • Kuhakikisha kuwa, takwimu na kumbukumbu zinazohusu vyombo vya usafiri zinatunzwa vyema na kwa usahihi.
  • Kufanya ukaguzi wa magari na mitambo ya shule kila siku na kutoa taarifa
  • Kuandaa taarifa, makisio na mahitaji ya ukarabati wa magari na mitambo
  • Kutekeleza majukumu mengine yatakayohusu usafirishaji.
  • Kusimamia matumizi ya mafuta pamoja na ujazaji wa kitabu cha mafuta (logbook)

3.2 SIFA ZA MWOMBAJI

  • Muombaji mwenye Shahada au Stashahada katika fani ya Usafirishaji, usimamizi wa Magari, au Masuala ya usafiri. Aidha mwenye uzoefu wa angalau miaka miwili katika sekta ya usafirishaji au taasisi inayomiliki magari atapewa kipaumbele.
  • Mwenye leseni ya udereva daraja C atapewa kipaumbele.

3.3 NGAZI YA MSHAHARA

EWSS-B KUANZIA TZS 501,000.

  • Leseni ya udereva daraja C
  • Shahada au Stashahada katika fani ya Usafirishaji, usimamizi wa Magari, au Masuala ya usafiri.
  • Uzoefu wa angalau miaka miwili katika sekta ya usafirishaji au taasisi inayomiliki magari.
  • Leseni ya udereva daraja C.
bachelor degree
24
JOB-6a4cee0d37203

Vacancy title:
Afisa Usafirishaji Daraja LA IIB

[Type: FULL_TIME, Industry: Education, and Training, Category: Transportation & Logistics, Business Operations, Management]

Jobs at:
Ellen White School

Deadline of this Job:
Monday, July 20 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Tuesday, July 7 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Ellen White School
Ellen White School jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Ellen White School

AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA IIB– Nafasi 1

3.1 MAJUKUMU YA KAZI

  • Kupanga na kuratibu ratiba za magari ya shule kwa ufanisi.
  • Kutayarisha gharama za uendeshaji wa usafiri kwa ajili ya kusaidia kutoa maamuzi.
  • Kuhakikisha kuwa, takwimu na kumbukumbu zinazohusu vyombo vya usafiri zinatunzwa vyema na kwa usahihi.
  • Kufanya ukaguzi wa magari na mitambo ya shule kila siku na kutoa taarifa
  • Kuandaa taarifa, makisio na mahitaji ya ukarabati wa magari na mitambo
  • Kutekeleza majukumu mengine yatakayohusu usafirishaji.
  • Kusimamia matumizi ya mafuta pamoja na ujazaji wa kitabu cha mafuta (logbook)

3.2 SIFA ZA MWOMBAJI

  • Muombaji mwenye Shahada au Stashahada katika fani ya Usafirishaji, usimamizi wa Magari, au Masuala ya usafiri. Aidha mwenye uzoefu wa angalau miaka miwili katika sekta ya usafirishaji au taasisi inayomiliki magari atapewa kipaumbele.
  • Mwenye leseni ya udereva daraja C atapewa kipaumbele.

3.3 NGAZI YA MSHAHARA

EWSS-B KUANZIA TZS 501,000.

Work Hours: 8

Experience in Months: 24

Level of Education: bachelor degree

Job application procedure

Click here to apply

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Logistics/ Transportation/ Procurement jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Monday, July 20 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 07-07-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 07-07-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.