Udereva job at The School of St Jude
New
Website :
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Udereva
2026-02-16T10:11:33+00:00
The School of St Jude
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_3336/logo/The%20School%20of%20St%20Jude.jpg
FULL_TIME
Arusha
Arusha
00000
Tanzania
Professional Services
Transportation & Logistics, Education
TZS
MONTH
2026-02-19T17:00:00+00:00
8

Kuhusu Shule

Shule ya St Jude ni shule inayotoa elimu ya hisani ndani ya Tanzania. St Jude's inafadhiliwa na wafuasi wa ukarimu kutoka kote uli kote ulimwenguni ambao hufanya dhamira yetu ya kuwapa wanafunzi wa Kitanzania mahiri na wanaotoka kwenye mazingira ya kimaskini elimu bure na yenye ubora.

Shule ya St.Jude inayofuraha kutangaza nafasi Moja (1) ya kazi ya Udereva kwa watanzania wenye sifa stahiki.

Kazi na Majukumu

  • Kuendesha magari ya shule kwa uangalifu na umakini
  • Kuwa makinii na kukagua mara kwa mara gari ulilokabidihiwa kuhakikisha lipo salama kabla ya na wakati wa kuliendesha
  • Kutunza taarifa za gari/vipuri/mafuta na mabadiliko yoyote ikiwemo kujaza "log book" kwa usahihi na kwa kila tukio na safari za gari
  • Kuripoti kwa wakati muda wa gari kukarabatiwa na/au kwenda "service"
  • Kufuata taratibu sheria kanuni na miongozo ya usalama barabarani
  • Kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya shule na taasisi husika pale linapotokea tatizo kwa gari la shule unaloendesha
  • Kufuata mipangilio na ratiba za magari na maelekezo ya Dereva Mkuu kuhusu Route za magari
  • Kushiriki sikukuu na shughuli za kijamii za The School of St. Jude mara zipangwapo
  • Kutoa taarifa ya maandishi ikiwa gari unaloendesha litapata hitilafu au ajali itakayozuia safari iliyopangwa au ruti kuendelea.

Sifa za Mwombaji

  • Awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 35.
  • Ajue kusoma na kuandika vizuri kwa Kiswahili. Kuzungumza, kuandika na/au kusoma klingereza itaboresha omo
  • Awe Awe ne husika husika eseni b lereva va daraia "C-plain" na HGV "Class E" pamoja na vyeti vya madaraja hayo
  • Gheti cha Udereva kutoka kwenye chuo kinachotambulika
  • Awe na uzoefu wa angalau miaka miwili (2) kuendeshe mabasi

Vigezo na Masharti

  • Mwombaji anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo kikamilifu
  • wasitu binatsi
  • Barua ya uhakiki wa leseni kutoka polisi
  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa
  • ya shule pamoja na magari ya mizigo
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtaa anapoish
  • Kuambatanisha cheti/nyaraka za kughushi itapelekea kuchukuliwa hatua za kis

  • Udereva wa C-class na HGV Class E
  • Ujuzi wa Kiswahili (kusoma, kuandika, kuzungumza)
  • Ujuzi wa Kiingereza (kusoma, kuandika, kuzungumza) - itaboresha
  • Mtanzania
  • Umri usiopungua miaka 35
  • Leseni ya udereva ya C-class na HGV Class E
  • Cheti cha udereva kutoka chuo kinachotambulika
  • Uzoefu wa angalau miaka miwili (2) kuendesha mabasi
  • Barua ya uhakiki wa leseni kutoka polisi
  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtaa
professional certificate
24
JOB-6992ed55bdff6

Vacancy title:
Udereva

[Type: FULL_TIME, Industry: Professional Services, Category: Transportation & Logistics, Education]

Jobs at:
The School of St Jude

Deadline of this Job:
Thursday, February 19 2026

Duty Station:
Arusha | Arusha

Summary
Date Posted: Monday, February 16 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about The School of St Jude
The School of St Jude jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Kuhusu Shule

Shule ya St Jude ni shule inayotoa elimu ya hisani ndani ya Tanzania. St Jude's inafadhiliwa na wafuasi wa ukarimu kutoka kote uli kote ulimwenguni ambao hufanya dhamira yetu ya kuwapa wanafunzi wa Kitanzania mahiri na wanaotoka kwenye mazingira ya kimaskini elimu bure na yenye ubora.

Shule ya St.Jude inayofuraha kutangaza nafasi Moja (1) ya kazi ya Udereva kwa watanzania wenye sifa stahiki.

Kazi na Majukumu

  • Kuendesha magari ya shule kwa uangalifu na umakini
  • Kuwa makinii na kukagua mara kwa mara gari ulilokabidihiwa kuhakikisha lipo salama kabla ya na wakati wa kuliendesha
  • Kutunza taarifa za gari/vipuri/mafuta na mabadiliko yoyote ikiwemo kujaza "log book" kwa usahihi na kwa kila tukio na safari za gari
  • Kuripoti kwa wakati muda wa gari kukarabatiwa na/au kwenda "service"
  • Kufuata taratibu sheria kanuni na miongozo ya usalama barabarani
  • Kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya shule na taasisi husika pale linapotokea tatizo kwa gari la shule unaloendesha
  • Kufuata mipangilio na ratiba za magari na maelekezo ya Dereva Mkuu kuhusu Route za magari
  • Kushiriki sikukuu na shughuli za kijamii za The School of St. Jude mara zipangwapo
  • Kutoa taarifa ya maandishi ikiwa gari unaloendesha litapata hitilafu au ajali itakayozuia safari iliyopangwa au ruti kuendelea.

Sifa za Mwombaji

  • Awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 35.
  • Ajue kusoma na kuandika vizuri kwa Kiswahili. Kuzungumza, kuandika na/au kusoma klingereza itaboresha omo
  • Awe Awe ne husika husika eseni b lereva va daraia "C-plain" na HGV "Class E" pamoja na vyeti vya madaraja hayo
  • Gheti cha Udereva kutoka kwenye chuo kinachotambulika
  • Awe na uzoefu wa angalau miaka miwili (2) kuendeshe mabasi

Vigezo na Masharti

  • Mwombaji anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo kikamilifu
  • wasitu binatsi
  • Barua ya uhakiki wa leseni kutoka polisi
  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa
  • ya shule pamoja na magari ya mizigo
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtaa anapoish
  • Kuambatanisha cheti/nyaraka za kughushi itapelekea kuchukuliwa hatua za kis

Work Hours: 8

Experience in Months: 24

Level of Education: professional certificate

Job application procedure

Maombi yawasilishwe katika Shule ya St. Jude Kampasi ya Moshono kabla ya tarehe 19/02/2026.

Maombi yatakayowasilishwa baada ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.

TUTAWASILIANA NA WALE TU WATAKAOKIDHI VIGEZO NA SIFA KWA AJILI YA MAJARIBIO NA MAHOJIANO!

ANGALIZO:

TAFADHALI KUWA MAKINI NA MATENDO YA UDANGANYIFU KATIKA MATANGAZO YA KAZI NA MCHAKATO WA AJIRA. SHULE YA ST JUDE HAIOMBI MALIPO KATIKA HATUA YOYOTE YA MCHAKATO WA KUAJIRI. MAOMBI YOYOTE YA MALIPO YAKATALIWE NA KURIPOTIWA KWA MAMLAKA YA UTEKELEZAJI WA SHERIA ZA MITAA KWA HATUA STAHIKI.

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Logistics/ Transportation/ Procurement jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Thursday, February 19 2026
Duty Station: Arusha | Arusha
Posted: 16-02-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 16-02-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.