Katibu Mahsusi Daraja La III Job at Ikungi District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1276 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Katibu Mahsusi Daraja La III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Ikungi District Council

Deadline of this Job:
13 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, November 06, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi anapenda kuwatangazia waombaji wenye sifa kujaza nafasi ya kazi ya Katibu Mahsusi Daraja la III. .

Kazi/Majukumu ya kufanya:
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
• Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
• Kusaidia kutunza taarifa/ kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi, na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
• Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.
• Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
• Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
• Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.


Job Skills: Not Specified


Sifa za kuingilia moja kwa moja:-
• Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (Form IV) waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za Windows, Microsoft office, Internet, E-mail na Publisher.
• Umri 18- 45


MSHAHARA: Ngazi ya Mshahara wa Serikali TGS. B


MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI:-
• Waombaji kazi wote waombe kwa kufuata masharti ya TANGAZO LA KAZI,
• Waombaji kazi wote wawe raia wa Tanzania .
• Waombaji wote lazima waambatanishe wasifu binafsi (CV) zenye mawasiliano ya uhakika, anuani, barua pepe na namba za simu,
• Waombaji lazima waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo
a) Cheti cha Mafunzo ya Uhazili
b) Cheti cha mtihani wa kidato cha nne au sita,
c) Cheti cha kuzaliwa.
• Hati ya matokeo ya kidato cha nne au sita (Result slip) haitafanyiwa kazi,
• Kuwasilisha vyeti vya kughushi na maelezo mengine itasababisha kuchukuliwa hatua za Kisheria.
• Waombaji ambao ni Watumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi.
• Waombaji waonyeshe wadhamini wawili na mawasiliano yao, anuani na namba za simu.
• Waombaji kazi wenye vyeti vya kidao cha nne na cheti cha Taaluma ambavyo vimepatikana nje ya nchi wahakikishe vimehakikiwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) na Baraza la Elimu ya Ufundi la Taifa (NACTE).
• Barua ya maombi iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza.
• Watakao chaguliwa kufanya usaili watajulishwa tarehe ya usaili.
• Waombaji kazi ambao maombi yao hayakukidhi vigezo vya tangazo hayatafanyiwa kazi.


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 13 Novemba, 2020 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi,


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 13 November 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 06-11-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 06-11-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 06-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.