Elimu ya Sheria Job at Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Elimu ya Sheria

Jobs at:
Chama Cha Walimu Tanzania (CWT)

Deadline of this Job:
21st December 2018

Duty Station:
Tanzania

Summary
Date Posted: 14th December 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni Chama cha Wafanyakazi kutoka kada ya Walimu ambacho shughuli zake zipo Tanzania Bara tu. Chama kimesajiliwa kwa Namba 004 chini ya Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini Namba 6 ya mwaka 2004 na kinaajiri Wafanyakazi kwa ajira ya kudumu ambao wapo katika kila Mikoa, Wilaya na Makao Makuu ili kuboresha huduma kwa Wanachama, CWT kinatoa nafasi ya ajira kwa Mtanzania mwenye sifa ya Elimu ya Sheria katika ofisi za Chama Makao Makuu yaliyopo Jijini Dodoma
MWANASHERIA -NAFASI

Sifa za mwombaji

  • Awe na Shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali nawe ameapishwa kuwa Wakili
  • Awe na uwezo wa kuongea kwa ufasaha na kuandika lugha ya Kiswahili na kiingereza . Awe na uwezo wa kutumia kompyuta
  • Awe raia wa Tanzania

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kutoa ushauri wa kisheria kwa Walimu na Chama
  • Kutatua migogoro ya kikazi wanayokabiliana nayo Walimu
  • Kufuatilia suluhu ya maatizo mbalimbali ya Walimu
  • katika ofisi mbalimbali za Serikali na Waajiri
  • Kuandaa taarifa ya kazi za Idara za robo mwaka nusu mwaka na Mwaka mzima
  • Kuandaa bajeti ya Idara
  • Kuhakikisha Idara inapata makala mbalimbali za kisheria Kufuatilia na
  • kupata mabadiliko mbalimbali ya Sheria (Amendments) pamoja na Gazeti la Serikali (Government Gazette)
  • Kufuatilia upatikanaji wa hukumu za Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa (Authorities)
  • Kutunza Maktaba ya mambo ya Sheria
  • Kufanya kazi nyingine atakazotumwa na Katibu Mkuu au Mkuu wa Idara

MASHARTI YA JUMLA

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
  • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa
  • Waombaji waambatishe malerg binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya
  • Wadhamini (referees) watatu wa kuaminika Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuringatia sifa za kazi husika Viambatisho hivyo vibar sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au kupotea
  • Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
  • Vyeti vya kitaaluma
  • Picha moja passport ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU
    Da NECTA)
  • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi
  • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
  • Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza 
  • Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21 Desemba, 2018 saa 10.00 Jioni kupitia anuani ifuatayo

Job application procedure
Katibu Mkuu,
Chama cha Walimu Tanzania,
S.L.P. 3077,
DODOMA. Barua pepe: info@ttu.or.tz
Imetolewa na: Mwl Deus G. Seif
KATIBU MKUU-CWT

Job Info
Job Category: Corporate / Organisation Specialist jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 21st December 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 14-12-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 14-12-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 14-12-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.