Dereva II job at Mwanga District Council
New
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Dereva II
2026-02-07T11:36:31+00:00
Mwanga District Council
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_5167/logo/Mwanga%20District%20Council.png
FULL_TIME
Mwanga
Mwanga
00000
Tanzania
Public Administration, and Government
Transportation & Logistics, Civil & Government, Installation, Maintenance & Repair
TZS
MONTH
2026-02-20T17:00:00+00:00
8

Duties and Responsibilities

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbali mbali kwenye safari za kikazi;
  • Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari;
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  • Kufanya usafi wa gari;
  • Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na msimamizi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha Nne (Form IV) na leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali,pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na vyuo vyovyote vinavyotambuliwa na serikali.

  • Elimu ya kidato cha Nne (Form IV)
  • Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari
  • Uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali
  • Vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika
  • Kuhudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na vyuo vyovyote vinavyotambuliwa na serikali.
high school
24
JOB-698723bfdcd8c

Vacancy title:
Dereva II

[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Transportation & Logistics, Civil & Government, Installation, Maintenance & Repair]

Jobs at:
Mwanga District Council

Deadline of this Job:
Friday, February 20 2026

Duty Station:
Mwanga | Mwanga

Summary
Date Posted: Saturday, February 7 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Mwanga District Council
Mwanga District Council jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Duties and Responsibilities

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbali mbali kwenye safari za kikazi;
  • Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari;
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  • Kufanya usafi wa gari;
  • Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na msimamizi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha Nne (Form IV) na leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali,pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na vyuo vyovyote vinavyotambuliwa na serikali.

Work Hours: 8

Experience in Months: 24

Level of Education: high school

Job application procedure

Application Period: 07/02/2026 - 20/02/2026

Application Link: Click Here to Apply Now

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Logistics/ Transportation/ Procurement jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Friday, February 20 2026
Duty Station: Mwanga | Mwanga
Posted: 07-02-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 07-02-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.