8 Katibu Muhtasi Jobs at Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
8 Katibu Muhtasi

Jobs at:
Chama Cha Walimu Tanzania (CWT)

Deadline of this Job:
10th January 2019  

Duty Station:
Dar es Salaam , Tanzania , East Africa , 255

Summary
Date Posted: 3rd January 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh

 

JOB DETAILS:

Chama Cha Walimu Tanzania (CWT)

NAFASI ZA KAZI
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama cha wafanyakazi ambacho shughuli zake zipo Tanzania Bara tu. Chama kimesajiliwa kwa namba 004 chini ya Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini Namba 6 ya mwaka 2001 na kinaajiri wafanyakazi kwa ajira ya mkataba wa kudumu ambao wapo katika Wilaya, Mikoa na Makao Makuu. Ill kuboresha huduma kwa wanachama, CWT kinatangaza nafasi ya ajira ya makatibu muhtasi kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa ambaye atakuwa tayari kufanya kazi mahala popote Tanzania:

Katibu Muhtasi

sifa za mwombaji
Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:

  •  Awe amehitimu kidato cha nne au zaidi
  • Awe na Stashahada ya Uhazill kutoka katika chuo kinachotambuliwa na NACTE.
  • Awe na uzoefu wa kutumia kompyuta na matumizi ya Intaneti
  • Awe na uwezo wa kutumia lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.

Majukumu ya kazi:

  • Kupiga chapa nyaraka mabalimbali za chama
  • Kutunza kumbukumbu mbalimball kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.
  • Kupokea wageni na kuwaelekeza mahall Manapoweza kusaidiwa
  • Kupokea mawasiliano mbalimton ya ofisi na kumpatia msimamizi
    wa kazi.
  • Kufanya usafi wa ofisi ya chama.
  • Kutunza siri zote za ofish
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wa kazi.

Masharti ya Jurhia ya mwombaji

  • Mwamba awe rala wa Tanzania
  • Awe na Reci usiozidi miaka 45
  • Barua ya maombi lambatane na vyeti vya kitaalamu na kitaaluma vilivyothibitishwa na Kamishna wa Viapo, maelezo binafsi (CV) yenye anwani na namba za simu za mwombaji na majina matatu ya wadhamini (referees) wa kuaminika
  • Barua zote ziwe na anuani ya uhakika namba za simu na barua pepe
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU au NECTA) Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi
  • Picha moja "passport size" ya rangi ya hivi karibuni na landikwe jina kwa nyuma.
  • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi mhusika atachukuliwa hatua za Idnidhamu.
  • Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza.

Job application procedure
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10 Januari 2019 sawa
10:00 fioni kupitia anwani ifuatayo:
KATIBU MKUU, CHAMA CHA WALIMU TANZANIA,
S.L.P. 3077,
DODOMA

 

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 10th January 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 03-01-2019
No of Jobs: 8
Start Publishing: 03-01-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 03-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.