38 Watendaji wa Vijiji Jobs at Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1875 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
38 Watendaji wa Vijiji

 

Jobs at:
Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

Deadline of this Job:
4th April 2019  

Duty Station:
Dar es Salaam , Tanzania , East Africa , 00000 , TZ

Summary
Date Posted: 25th March 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full_Time , Currency: TZS , Value: 625000 , Minimum: 437500 , Maximum: 1875000 , Period: MONTH

 

JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 38 za Watendaji wa Vijiji daraja la III.

SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na Elimu ya Kidato cha Nne(IV) au sita (VI).
• Awe amehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika mojawapo ya fani zifuatazo
• Utawala,Sheria,Elimu ya Jamii,Usimamizi wa Fedha,Maendeleo ya Jamiii na Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za Mishahara ya Serikali, yaani TGS ‘B’

MAJUKUMU YA KAZI
• Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji
• Kuratibu na kusimamia Upangaji wa Utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji Kutafsiri na kusimamia Sera,Sheria na Taratibu mbalimbali za Serikali
• Kukusanya,kusimamia na Kutunza Nyaraka na Kumbukumbu zote za Kijiji Kuandaa Taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha Wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa Umaskini na kuongeza uzalishaji mali Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji
• Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji
• Kupokea,Kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya Wananchi
• Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji
• Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye Umri kati ya miaka 20 hadi 45
• Waombaji wote waambatishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
• Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na Wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detailed CV) yenye Anuani na Namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini watatu (3) wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatishwe na nakala za vyeti vya Taaluma na Vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofika kiwango hicho na Vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia kazi husika.Pia unatakiwa kuambatisha picha ndogo (passport size) ya hivi karibuni na iandikwe jina nyuma yake
• Testimonials,Provisional Results, Statement of Results na Hati za Matokeo ya kidato cha Nne au Sita
HAVITAKUBALIWA
• Waombaji waliosoma Nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimekaguliwa na kuthibitishwa na mamlaka husika (NECTA,NACTE na TCU)
• Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawataruhusiwa kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi Uwasilishaji wa sifa za kughushi Wahusika watachukuliwa hatua stahiki za kisheria
• Maombi yaandikwe kwa mkono na Mwombaji, kwa Lugha ya Kiswahili au kiingeraza Waombaji wote kwenye Barua zao za maombi waandike Namba za simu za uhakika kwa ajili ya mawasiliano
• Maombi yote yatumwe kwa Anuani ya Posta kama ifuatavyo:
Mkurugenzi Mtendaji (W)
S.L.P 3
MATAI - KALAMBO
N:B Maombi hayatapokelewa. Yatakayowasilishwa kwa mkono
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04 Aprili, 2017 Saa 9: 30 Alasiri Limetolewa na

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 4th April 2019
Duty Station: Dar es Salaam , Tanzania
Posted: 25-03-2019
No of Jobs: 38
Start Publishing: 25-03-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 25-03-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.