12 District Secretaries Job at Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
12 District Secretaries

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Admin & Office ]

Jobs at:

Chama Cha Walimu Tanzania (CWT)

Deadline of this Job:
21 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, September 07, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Chama cha Walimu Tanzania ni Chama cha Wafanyakazi kutoka kada ya Ualimu ambacho shughuli zake zipo Tanzania Bara tu. Chama kimesajiliwa kwa Namba 004 chini ya Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini Namba 6 ya mwaka 2004 na kinaajiri Wafanyakazi kwa ajira ya kudumu ambao wapo katika kila mkoa. Ili kuboresha huduma bora kwa wanachama, zoezi la kuajiri kadri ya uhitaji halikwepeki. Hivyo Chama cha Walimu Tanzania kinahitaji kupata walimu wenye sifa na moyo wa kukitumikia kadri ya taaluma zao kwa nafasi ya Katibu wa Wilaya Tanzania.
12 KATIBU WA WILAYA .

Majukumu ya kazi
• Mtendaji Mkuu wa shughuli za Chama za kila siku katika ngazi ya Wilaya
• Mtetezi Mkuu wa haki na wajibu wa wanachama ndani ya Wilaya.
• Mtetezi na msimamizi wa taaluma na utaalamu wa ualimu pamoja na elimu bora kwa wote.


Job Skills: Not Specified


Sifa za mwombaji
• Awe ni mwalimu wa cheti cha daraja la IIIA na kuendelea
• Awe na uelewa, ujuzi na uzoefu wa Chama na masuala ya walimu na elimu nchini.
• Awe mwalimu walioajiriwa na Serikali, mwenye namba ya utambulisho wa ajira (TSC Namba).
• Awe mwanachama kamili wa CWT hadi sasa na aliyechangia miezi kumi na mbili (12) mfululizo ada ya uanachama hadi tarehe ya tangazo hili.
• Awe ni mwenye tabia na mwenendo unaokubalika katika maadili ya taaluma na ualimu.
• Awe ni mwenye uwezo wa kujenga na kuendeleza mahusiano mema kati yake na wanachama, viongozi wa Chama, waajiri na wadau wa elimu.


Job Education Requirements: Not Specified


Mshahara: Mshahara utatolewa kwa mujibu wa kanuni zinazotawala utumishi ndani ya CWT.


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
Namna ya kutuma maombi
• Maombi yatawasilishwa na mwombaji kwenye ofisi ya CWT ya Wilaya yake anapofanyia kazi. Barua ya maombi iambatane na vivuli vya vyeti vya masonio, stakabadhi ya mshahara (salary slip) wa mwisho na kitambulisho cha uanachama wa CWT pamoja na barua ya ajira.
• Mwombaji atapatiwa fomu maalum na Katibu wa Wilaya na atajaza taarifa zake na kuambatisha na barua yake ya maombi. (t) Mwisho wa kupokea maombi
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21 Septemba 2020 saa 10.00 Jioni.

Imetolewa na:
Mwl. Deus G. Seif
KATIBU MKUU-CWT.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 21 September 2020
Duty Station: Dar Es Salaam
Posted: 07-09-2020
No of Jobs: 12
Start Publishing: 07-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 07-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.