Vacancy title:
Msaidizi Wa Afya
Jobs at:
ELCT Northern Diocese TanzaniaDeadline of this Job:
10th August 2019
Summary
Date Posted: Friday, July 26, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Descriptions
KKKT Dayosisisi ya Kaskazini inasimamia Hospitali tatu ambazo ni Marangu, Machame na Karatu zinazotoa huduma za afya. Katika kutoa huduma bora tunatafuta watu wa kuajiri katika
nafasi zifuatazo: Msaidizi Wa Afya.
Majukumu yake ni kama yafuatavyo;
• Kuchukua Sampuli za maji na chakula na kuzipeleka kwa Afisa Afya Mazingira au Afisa Afya
• Mazingira Msaidizi
• Kutambua, kuweka kumbukumbu za vyanzo vya maji na kuhamasisha jamii kulinda vyanzo vya maji kwa kushirikiana na kamati za maji za vijiji na mitaa
• Kutoa elimu kwa jamii kuhusu usafi, kudhibiti taka hatari/hatarishi zikiwamo zitokanazo na huduma za afya na kuhamasisha jamii kujenga na kutumia vyoo bora
• Kufanya ukaguzi wa nyumba za kuishi na za biashara
• Kusimamia sheria ndogo ndogo za afya na mazingira
• Na kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
Sifa za Mwombaji:
• Awe amehitimu kidato cha nne
• Awe na cheti cha mafunzo ya Msaidizi wa Afya au Fundi Sanifu Afya na Mazingira toka kwenye Chuo kinachotambuliwa na Serikali
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Watakaopenda watume maombi yao pamoja na picha ndogo ya karibuni (recent passport size) pamoja na wasifu wao (Curriculum Vitae) kwa Anuani ifuatayo kabla ya tarehe 10/08/2019:
Katibu Mkuu
KKKT Dayosisi ya Kaskazini
S.L.P 195,
MOSHI
Barua pepe: generalsecretary@northerndiocese.co.tz
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.