Vacancy title:
Mlinzi Daraja la III (Ofisi Ya Mkuu Wa Mkoa Wa Kaskazini Unguja)
Jobs at:
Tume ya Utumishi Serikalini
Deadline of this Job:
8th February 2019
Summary
Date Posted: 4th February 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh
JOB DETAILS:
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja kama ifuatavyo: -
OFISI YA MKUU WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA:
Mlinzi Daraja la III (Ofisi Ya Mkuu Wa Mkoa Wa Kaskazini Unguja)
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata mafunzo ya Ulinzi kutoka JKU au JKT.
{module 312}
Job application procedure
Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.
Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.
Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
• Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
• Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
• Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
• Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
• Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
• N.B: Atakaewasilisha „Statement of Result‟ au „Progressive Report‟ maombi yake
• hayatazingatiwa.
• Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 08 Februari, 2019 wakati wa saa za kazi.
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.