Drivers (Madereva) job at Pioneer Logistics Limited
New
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Drivers (Madereva)
2026-09-11T07:27:05+00:00
Pioneer Logistics Limited
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_7274/logo/Pioneer%20Logistics%20Limited.png
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Logistics
Transportation & Logistics
TZS
MONTH
2026-09-30T17:00:00+00:00
8

Tunatafuta madereva wenye uzoefu na weledi wa kuendesha malori ya masafa marefu. Dereva atakuwa na jukumu la kuhakikisha usalama wa gari na mzigo, kufuata ratiba za usafirishaji, na kuripoti hali za barabarani kwa Meneja wa Usafirishaji.

Jiunge na nafasi ambayo ujuzi wako wa kuendesha unathaminiwa, juhudi zako zinatuzwa, na kila safari inachangia na kuboresha ujuzi wako na kukujenga zaidi katika shughuli zako za udereva.

Mahitaji hatua ya awali
1. Barua ya Maombi ya Kazi.
2. Wasifu wako (CV).
3. Barua ya Utambulisho wa Makazi.
4. Nakala ya leseni. (Class E)
5. Nakala ya passport kubwa.
6. Cheti cha Mafunzo ya Uendeshaji (Driving Certificate).
7. Kitambulisho cha taifa.
8. Cheti cha kuzaliwa.

Mahitaji baada ya kufaulu Usaili
9. Barua ya Wadhahmimi wawili wafanyakazi wa serikali.
10. Nakala ya vitambulisho vya kazi.
11. Cheti cha Uhakiki wa Leseni.
12. Fingerprint Verification Document ya Jeshi la Polisi.
Mawasiliano

  • Kuhakikisha usalama wa gari na mzigo
  • Kufuata ratiba za usafirishaji
  • Kuripoti hali za barabarani kwa Meneja wa Usafirishaji
  • Barua ya Maombi ya Kazi.
  • Wasifu wako (CV).
  • Barua ya Utambulisho wa Makazi.
  • Nakala ya leseni. (Class E)
  • Nakala ya passport kubwa.
  • Cheti cha Mafunzo ya Uendeshaji (Driving Certificate).
  • Kitambulisho cha taifa.
  • Cheti cha kuzaliwa.
  • Barua ya Wadhahmimi wawili wafanyakazi wa serikali.
  • Nakala ya vitambulisho vya kazi.
  • Cheti cha Uhakiki wa Leseni.
  • Finger print Verification Document ya Jeshi la Polisi.
professional certificate
12
JOB-6aa3ad49a6dd0

Vacancy title:
Drivers (Madereva)

[Type: FULL_TIME, Industry: Logistics, Category: Transportation & Logistics]

Jobs at:
Pioneer Logistics Limited

Deadline of this Job:
Wednesday, September 30 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Friday, September 11 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Pioneer Logistics Limited
Pioneer Logistics Limited jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Tunatafuta madereva wenye uzoefu na weledi wa kuendesha malori ya masafa marefu. Dereva atakuwa na jukumu la kuhakikisha usalama wa gari na mzigo, kufuata ratiba za usafirishaji, na kuripoti hali za barabarani kwa Meneja wa Usafirishaji.

Jiunge na nafasi ambayo ujuzi wako wa kuendesha unathaminiwa, juhudi zako zinatuzwa, na kila safari inachangia na kuboresha ujuzi wako na kukujenga zaidi katika shughuli zako za udereva.

Mahitaji hatua ya awali
1. Barua ya Maombi ya Kazi.
2. Wasifu wako (CV).
3. Barua ya Utambulisho wa Makazi.
4. Nakala ya leseni. (Class E)
5. Nakala ya passport kubwa.
6. Cheti cha Mafunzo ya Uendeshaji (Driving Certificate).
7. Kitambulisho cha taifa.
8. Cheti cha kuzaliwa.

Mahitaji baada ya kufaulu Usaili
9. Barua ya Wadhahmimi wawili wafanyakazi wa serikali.
10. Nakala ya vitambulisho vya kazi.
11. Cheti cha Uhakiki wa Leseni.
12. Fingerprint Verification Document ya Jeshi la Polisi.
Mawasiliano

Work Hours: 8

Experience in Months: 12

Level of Education: professional certificate

Job application procedure
Interested in applying for this job? Click here to submit your application now.

 

Mawasiliano

0768425776

Mwisho wa maombi: 30-09-2026

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Logistics/ Transportation/ Procurement jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Wednesday, September 30 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 11-09-2026
No of Jobs: 20
Start Publishing: 11-09-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.