Afisa Ukaguzi wa Meli Daraja la II-UNGUJA job at Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
New
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Afisa Ukaguzi wa Meli Daraja la II-UNGUJA
2026-07-29T18:56:54+00:00
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_7106/logo/Zanzibar%20Maritime%20Authority%20(ZMA).png
FULL_TIME
UNGUJA
Tanzania
00000
Tanzania
Transportation, Distribution, and Logistics
Science & Engineering, Transportation & Logistics, Civil & Government
TZS
MONTH
2026-08-10T17:00:00+00:00
8

Zanzibar Maritime Authority (ZMA)

Responsibilities or duties

  • Kukagua meli na kujiridhisha kuwa ziko katika kiwango cha usalama na kuwasilisha ripoti kwa Mkuu wa kazi;
  • Kuhakikisha taratibu, miongozo na Kanuni za usafiri baharini za Kitaifa na Kimataifa zinafuatwa kwa mujibu wa sheria.
  • Kukagua na kuthibitisha taarifa za nyaraka za meli na Wafanyakazi wake;
  • Kukagua vyombo vyote vya baharini kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo;
  • Kuweka kumbukumbu ya meli zilizokaguliwa, zilizo kizuizini na taarifa nyengine zinazohusiana na ukaguzi huo;
  • Kufanya uchunguzi na kukusanya taarifa zitakazotumika katika uchunguzi wa ajali.

Qualifications or requirements 

  • Awe ni Mzanzibari.
  • Awe na umri usiozidi miaka 40
  • Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Masuala ya Uhandisi wa Meli au Muongozaji wa Meli kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Mwenye cheti cha umahiri daraja la II (Certificate of Competence Class II) na kuendelea ni sifa ya ziada.
  • Awe na Ujuzi wa kutumia kompyuta

Experience needed

Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

  • Ujuzi wa kutumia kompyuta
  • Mzanzibari
  • Umri usiozidi miaka 40
  • Shahada ya kwanza katika fani ya Masuala ya Uhandisi wa Meli au Muongozaji wa Meli kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Cheti cha umahiri daraja la II (Certificate of Competence Class II) na kuendelea ni sifa ya ziada.
  • Ujuzi wa kutumia kompyuta
  • Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada
bachelor degree
12
JOB-6a6a4cf66facc

Vacancy title:
Afisa Ukaguzi wa Meli Daraja la II-UNGUJA

[Type: FULL_TIME, Industry: Transportation, Distribution, and Logistics, Category: Science & Engineering, Transportation & Logistics, Civil & Government]

Jobs at:
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)

Deadline of this Job:
Monday, August 10 2026

Duty Station:
UNGUJA | Tanzania

Summary
Date Posted: Wednesday, July 29 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Zanzibar Maritime Authority (ZMA) jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Zanzibar Maritime Authority (ZMA)

Responsibilities or duties

  • Kukagua meli na kujiridhisha kuwa ziko katika kiwango cha usalama na kuwasilisha ripoti kwa Mkuu wa kazi;
  • Kuhakikisha taratibu, miongozo na Kanuni za usafiri baharini za Kitaifa na Kimataifa zinafuatwa kwa mujibu wa sheria.
  • Kukagua na kuthibitisha taarifa za nyaraka za meli na Wafanyakazi wake;
  • Kukagua vyombo vyote vya baharini kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo;
  • Kuweka kumbukumbu ya meli zilizokaguliwa, zilizo kizuizini na taarifa nyengine zinazohusiana na ukaguzi huo;
  • Kufanya uchunguzi na kukusanya taarifa zitakazotumika katika uchunguzi wa ajali.

Qualifications or requirements 

  • Awe ni Mzanzibari.
  • Awe na umri usiozidi miaka 40
  • Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika fani ya Masuala ya Uhandisi wa Meli au Muongozaji wa Meli kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Mwenye cheti cha umahiri daraja la II (Certificate of Competence Class II) na kuendelea ni sifa ya ziada.
  • Awe na Ujuzi wa kutumia kompyuta

Experience needed

Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

Work Hours: 8

Experience in Months: 12

Level of Education: bachelor degree

Job application procedure

Apply

Application Link: Click Here to Apply Now

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Engineering jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Monday, August 10 2026
Duty Station: UNGUJA | Tanzania
Posted: 29-07-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 29-07-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.