Afisa Mipango Daraja La II-Unguja
2026-07-29T19:07:52+00:00
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_7106/logo/Zanzibar%20Maritime%20Authority%20(ZMA).png
https://www.zma.go.tz/
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Transportation, Distribution, and Logistics
Civil & Government, Business Operations, Management
2026-08-10T17:00:00+00:00
8
Duties and Responsibilities
Majukumu ya Kazi
- Kuandaa viashiria vya taarifa za ufuatiliaji kwa kuzingatia mpango kazi wa Mamlaka.
- Kutayarisha mfumo na muundo wa ukusanyaji wa taarifa na ripoti za utekelezaji.
- Kufanya na kuratibu tafiti juu ya maeneo ya kazi za msingi na mahitaji mengine kwa maendeleo ya Mamlaka.
- Kufanya mapitio ya taarifa za utekelezaji kwa ajili ya ufuatiliaji na tathmini.
- Kutayarisha mpango, miradi na bajeti ya Mamlaka.
- Kuandaa viashiria vya taarifa za ufuatiliaji kwa kuzingatia mpango kazi.
- Kuandaa na kufanya mapitio ya Mpango Mkakati (Strategic Plan) wa Mamlaka.
- Kuandaa Mpango wa Muda wa Kati wa Matumizi na Bajeti (MTEF) unaohusu Mamlaka
- Kuandaa Mpango wa Matumizi wa kila mwezi (Cash Flow) unaohusu Mamlaka.
Qualifications
Sifa za Muombaji
Awe ni Mzanzibari.
Awe na umri usiozidi miaka 40
Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya Mipango, Mipango ya Maendeleo, Sera na Mipango (Policy Planning), Ufuatiliaji na Tathmini, na Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha (development Finance and Investment Planning) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada

- Ujuzi wa kutumia kompyuta.
- Mzanzibari.
- Umri usiozidi miaka 40
- Elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya Mipango, Mipango ya Maendeleo, Sera na Mipango (Policy Planning), Ufuatiliaji na Tathmini, na Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha (development Finance and Investment Planning) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Ujuzi wa kutumia kompyuta.
No Requirements
JOB-6a6a4f8809913
Vacancy title:
Afisa Mipango Daraja La II-Unguja
[Type: FULL_TIME, Industry: Transportation, Distribution, and Logistics, Category: Civil & Government, Business Operations, Management]
Jobs at:
Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Deadline of this Job:
Monday, August 10 2026
Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam
Summary
Date Posted: Wednesday, July 29 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Zanzibar Maritime Authority (ZMA)
Zanzibar Maritime Authority (ZMA) jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Duties and Responsibilities
Majukumu ya Kazi
- Kuandaa viashiria vya taarifa za ufuatiliaji kwa kuzingatia mpango kazi wa Mamlaka.
- Kutayarisha mfumo na muundo wa ukusanyaji wa taarifa na ripoti za utekelezaji.
- Kufanya na kuratibu tafiti juu ya maeneo ya kazi za msingi na mahitaji mengine kwa maendeleo ya Mamlaka.
- Kufanya mapitio ya taarifa za utekelezaji kwa ajili ya ufuatiliaji na tathmini.
- Kutayarisha mpango, miradi na bajeti ya Mamlaka.
- Kuandaa viashiria vya taarifa za ufuatiliaji kwa kuzingatia mpango kazi.
- Kuandaa na kufanya mapitio ya Mpango Mkakati (Strategic Plan) wa Mamlaka.
- Kuandaa Mpango wa Muda wa Kati wa Matumizi na Bajeti (MTEF) unaohusu Mamlaka
- Kuandaa Mpango wa Matumizi wa kila mwezi (Cash Flow) unaohusu Mamlaka.
Qualifications
Sifa za Muombaji
Awe ni Mzanzibari.
Awe na umri usiozidi miaka 40
Awe mwenye elimu ya Shahada ya kwanza katika masuala ya Mipango, Mipango ya Maendeleo, Sera na Mipango (Policy Planning), Ufuatiliaji na Tathmini, na Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha (development Finance and Investment Planning) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada
Work Hours: 8
Experience: No Requirements
Level of Education: bachelor degree
Job application procedure
Apply
Click Here to Apply Now
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION