Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja LA II (Office Management Secretary Grade II)
2026-09-30T19:36:25+00:00
Civil Service Commission ( CSC)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_2813/logo/Civil%20Service%20Commission.jpg
https://www.greattanzaniajobs.com/jobs
FULL_TIME
UNGUJA
Tanzania
00000
Tanzania
Public Administration, and Government
Admin & Office, Civil & Government
2026-10-15T17:00:00+00:00
8
Civil Service Commission Zanzibar
Responsibilities or duties
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
- Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
- Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
- Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
- Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;.
- Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
- Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
- Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
- Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications or requirements
- Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies).
- Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100(100.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali

- Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi;
- Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
- Typing
- Secretarial Studies
- Computer proficiency (Word, Excel, PowerPoint, Internet, Email, Publisher)
- Swahili
- English (100 w.p.m.)
- Form Four or Form Six certificate
- NTA Level 6 in Secretarial Studies
- Pass in Swahili and English (100 w.p.m.)
- Training in office computer programs (Word, Excel, PowerPoint, Internet, Email, Publisher) from a government-recognized institution
No Requirements
JOB-6abd64b93b66c
Vacancy title:
Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja LA II (Office Management Secretary Grade II)
[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Admin & Office, Civil & Government]
Jobs at:
Civil Service Commission ( CSC)
Deadline of this Job:
Thursday, October 15 2026
Duty Station:
UNGUJA | Tanzania
Summary
Date Posted: Wednesday, September 30 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Civil Service Commission ( CSC)
Civil Service Commission ( CSC) jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Civil Service Commission Zanzibar
Responsibilities or duties
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
- Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
- Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
- Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
- Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;.
- Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
- Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
- Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
- Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications or requirements
- Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies).
- Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100(100.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
Work Hours: 8
Experience: No Requirements
Level of Education: associate degree
Job application procedure
Apply via the portal: Click Here to Apply Now
Application period: 30/09/2026 - 15/10/2026
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION