Msimamizi wa Wafanya Usafi job at Ideon Ltd-Tanzania
New
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Msimamizi wa Wafanya Usafi
2025-09-05T12:56:19+00:00
Ideon Ltd-Tanzania
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_4333/logo/Ideon%20Ltd-Tanzania.png
FULL_TIME
 
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Consulting
Admin & Office
TZS
 
MONTH
2025-09-12T17:00:00+00:00
 
Tanzania
8

IDEON LIMITED inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo kwa ajili ya kituo chake kilichopo Mbezi Beach, Dar es Salaam:

  1. Msimamizi wa Wafanya Usafi (1 Nafasi)
  2. Majukumu Makuu:

    • Kusimamia kazi za kila siku za wafanya usafi.
    • Kugawa majukumu na kuhakikisha maeneo yote yanasafishwa ipasavyo.
    • Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kuhakikisha viwango vya usafi vinafuatwa.
    • Kuwalindisha na kuwaongoza wafanya usafi kuhusu kanuni za usalama na afya.
    • Kuandaa taarifa fupi za kazi na maduhurio ya wafanyakazi.

    Sifa na Uzoefu:

    • Awe na angalau Cheti au Diploma katika Utawala wa BiasharaUsimamizi wa Hoteli, au fani nyingine inayohusiana.
    • Uzoefu wa angalau mwaka 1-2 katika usimamizi au kazi za usafi.
    • Uwezo mzuri wa kuongoza na kuwasiliana.
    • Awe mwaminifu, mchapakazi na mwenye uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa wa karibu.

    Masharti ya Kazi:

    • Eneo la kazi: Dar es Salaam – Mbezi Beach
    • Mshahara: 180,000/= Tsh kwa mwezi (NET)
 
associate degree
12
JOB-68baddf30d5ab

Vacancy title:
Msimamizi wa Wafanya Usafi

[Type: FULL_TIME, Industry: Consulting, Category: Admin & Office]

Jobs at:
Ideon Ltd-Tanzania

Deadline of this Job:
Friday, September 12 2025

Duty Station:
Dar es Salaam | Tanzania

Summary
Date Posted: Friday, September 5 2025, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Ideon Ltd-Tanzania
Ideon Ltd-Tanzania jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

IDEON LIMITED inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo kwa ajili ya kituo chake kilichopo Mbezi Beach, Dar es Salaam:

  1. Msimamizi wa Wafanya Usafi (1 Nafasi)
  2. Majukumu Makuu:

    • Kusimamia kazi za kila siku za wafanya usafi.
    • Kugawa majukumu na kuhakikisha maeneo yote yanasafishwa ipasavyo.
    • Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kuhakikisha viwango vya usafi vinafuatwa.
    • Kuwalindisha na kuwaongoza wafanya usafi kuhusu kanuni za usalama na afya.
    • Kuandaa taarifa fupi za kazi na maduhurio ya wafanyakazi.

    Sifa na Uzoefu:

    • Awe na angalau Cheti au Diploma katika Utawala wa BiasharaUsimamizi wa Hoteli, au fani nyingine inayohusiana.
    • Uzoefu wa angalau mwaka 1-2 katika usimamizi au kazi za usafi.
    • Uwezo mzuri wa kuongoza na kuwasiliana.
    • Awe mwaminifu, mchapakazi na mwenye uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa wa karibu.

    Masharti ya Kazi:

    • Eneo la kazi: Dar es Salaam – Mbezi Beach
    • Mshahara: 180,000/= Tsh kwa mwezi (NET)

Work Hours: 8

Experience in Months: 12

Level of Education: associate degree

Job application procedure
Interested in applying for this job? Click here to submit your application now.

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Friday, September 12 2025
Duty Station: Dar es Salaam
Posted: 05-09-2025
No of Jobs: 1
Start Publishing: 05-09-2025
Stop Publishing (Put date of 2030): 05-09-2073
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.