Dereva (Driver)
2025-12-02T06:52:56+00:00
TEF Consult
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_5130/logo/TEF-Consult-logo.png
https://tef.co.tz/
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Consulting
Transportation & Logistics, Installation, Maintenance & Repair
2025-12-16T17:00:00+00:00
Tanzania
8
Muhtasari wa Kazi
TEF Consult inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Dereva mwenye weledi, uwajibikaji, na uwezo wa kuendesha magari kwa usalama na uangalifu. Muombaji atakayechaguliwa atahakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari, kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari, pamoja na kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.
Sifa za Muombaji(Qualifications)
Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
- Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
- Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).
- Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.
- Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.
- Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).
- Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.
Nyaraka za Kuambatanisha (Required Documents)
Waombaji wanapaswa kuwasilisha:
- Barua ya maombi ya kazi
- Nakala ya leseni ya udereva
- Nakala ya kitambulisho cha NIDA
- CV (Curriculum Vitae)
- Cheti cha LATRA
- Police Clearance (Uthibitisho wa kutokuwa na makosa ya jinai)
- Mahali ulipo kwa sasa (Current location)
- Kuhakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari.
- Kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari.
- Kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.
- Ujuzi wa ufundi wa magari.
- Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
- Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).
- Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.
- Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.
- Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).
- Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.
JOB-692e8cc862ec3
Vacancy title:
Dereva (Driver)
[Type: FULL_TIME, Industry: Consulting, Category: Transportation & Logistics, Installation, Maintenance & Repair]
Jobs at:
TEF Consult
Deadline of this Job:
Tuesday, December 16 2025
Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam | Tanzania
Summary
Date Posted: Tuesday, December 2 2025, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about TEF Consult
TEF Consult jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Muhtasari wa Kazi
TEF Consult inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Dereva mwenye weledi, uwajibikaji, na uwezo wa kuendesha magari kwa usalama na uangalifu. Muombaji atakayechaguliwa atahakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari, kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari, pamoja na kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.
Sifa za Muombaji(Qualifications)
Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
- Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
- Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).
- Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.
- Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.
- Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).
- Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.
Nyaraka za Kuambatanisha (Required Documents)
Waombaji wanapaswa kuwasilisha:
- Barua ya maombi ya kazi
- Nakala ya leseni ya udereva
- Nakala ya kitambulisho cha NIDA
- CV (Curriculum Vitae)
- Cheti cha LATRA
- Police Clearance (Uthibitisho wa kutokuwa na makosa ya jinai)
- Mahali ulipo kwa sasa (Current location)
Work Hours: 8
Experience in Months: 24
Level of Education: professional certificate
Job application procedure
Interested in applying for this job? Click here to submit your application now.
Jinsi ya Kuomba
Mada ya barua (Subject):Maombi ya Kazi – Dereva (Driver)
Human Resource Manager
Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult)
au kwa barua
P.O. Box 33542, Dar es Salaam, Tanzania
Or
Online Application:
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION