Afisa Mifugo Daraja LA II (Livestock Officer Grade II)
2026-09-03T16:15:00+00:00
MDAs & LGAs
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_3286/logo/MDAs%20&%20LGAs.jpg
https://www.greattanzaniajobs.com/jobs
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Public Administration, and Government
Animal Care, Science & Engineering, Civil & Government, Agribusiness, Agricultural Services & Products, Farming & Outdoors
2026-09-17T17:00:00+00:00
8
Duties and Responsibilities
- Kubuni mipango ya uzalishaji mifugo wilayani;
- Kuratibu uzalishaji wa mifugokatikamashamba madogo na makubwa ya mifugo;
- Kusaidia kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na uzalishaji wa mifugo wilayani;
- Kuratibuna kuendesha mafunzo ya ufugajibora, usindikaji wa mazao ya mifugo kwa wataalam wa mifugo na wafugaji;
- Kufanyamapitio na marekebisho ya miundombinu ya masoko ya mifugo wilayani kwake na mkoani;
- Kubuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo ya mifugo wilayani;
- Kufanya soroveya ya rasilimali (resource survey) k.m. mifugo, vyakula vya mifugo, malisho n.k. katika eneo lake la kazi;
- Kuendesha mafunzokwa mawakala, wauzaji na wataalam juu ya njia salama katika kuweka na kusambaza pembejeo za mifugo;
- Kutafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo mbalimbali;
- Kufanya tathmini juu ya uharibifu wa mazingira unaotokana na ufugaji katika wilaya;
- Kushiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya wanyama/viumbe waharibifu wa malisho;
- Kufuatilia,kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za uzalishaji wa mifugo;
- Kuandaa taarifa ya jumla juu ya maendeleo ya mifugo;
- Kufanya kazi nyingine zinazohusianana fani yake kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Animal Science) au Sayansi ya Kilimo waliobobea katika Sayansi ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au sifa inayolingana na hiyo kutoka chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

- Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Animal Science) au Sayansi ya Kilimo waliobobea katika Sayansi ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au sifa inayolingana na hiyo kutoka chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
No Requirements
JOB-6a999d043e4e4
Vacancy title:
Afisa Mifugo Daraja LA II (Livestock Officer Grade II)
[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Animal Care, Science & Engineering, Civil & Government, Agribusiness, Agricultural Services & Products, Farming & Outdoors]
Jobs at:
MDAs & LGAs
Deadline of this Job:
Thursday, September 17 2026
Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam
Summary
Date Posted: Thursday, September 3 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about MDAs & LGAs
MDAs & LGAs jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Duties and Responsibilities
- Kubuni mipango ya uzalishaji mifugo wilayani;
- Kuratibu uzalishaji wa mifugokatikamashamba madogo na makubwa ya mifugo;
- Kusaidia kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na uzalishaji wa mifugo wilayani;
- Kuratibuna kuendesha mafunzo ya ufugajibora, usindikaji wa mazao ya mifugo kwa wataalam wa mifugo na wafugaji;
- Kufanyamapitio na marekebisho ya miundombinu ya masoko ya mifugo wilayani kwake na mkoani;
- Kubuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo ya mifugo wilayani;
- Kufanya soroveya ya rasilimali (resource survey) k.m. mifugo, vyakula vya mifugo, malisho n.k. katika eneo lake la kazi;
- Kuendesha mafunzokwa mawakala, wauzaji na wataalam juu ya njia salama katika kuweka na kusambaza pembejeo za mifugo;
- Kutafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo mbalimbali;
- Kufanya tathmini juu ya uharibifu wa mazingira unaotokana na ufugaji katika wilaya;
- Kushiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya wanyama/viumbe waharibifu wa malisho;
- Kufuatilia,kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za uzalishaji wa mifugo;
- Kuandaa taarifa ya jumla juu ya maendeleo ya mifugo;
- Kufanya kazi nyingine zinazohusianana fani yake kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Animal Science) au Sayansi ya Kilimo waliobobea katika Sayansi ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au sifa inayolingana na hiyo kutoka chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Work Hours: 8
Experience: No Requirements
Level of Education: bachelor degree
Job application procedure
Application Period: 03/09/2026 - 17/09/2026
Application Link: Click Here to Apply Now
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION