Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja LA II (Records Management Assistant II)
2026-01-26T06:40:07+00:00
Songea Municipal Council
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_6127/logo/ssssjjjj.jpeg
https://songeamc.go.tz/
FULL_TIME
Tanzania
Tanzania
00000
Tanzania
Public Administration, and Government
Admin & Office, Civil & Government
2026-01-29T17:00:00+00:00
8
Duties and Responsibilities
- Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
- Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register);
- Kusambaza na kupokea majalada kutoka kwa Watendaji (action officers)
- Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa;
- Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking);
- Kuchambua,kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (Classification and Boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi;
- Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (File racks/Cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu;
- Kuweka Kumbukumbu(barua,nyaraka nk) katika mafaili;
- Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV wenye Stashahada (NTA Level 6 ) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Records Management, Archives Management,Records and Arichives Management, Arichive Documentation, Records and Information Managemen au fani nyingine zinazoendana na hizo kutoka katika Taasisi au Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

- Kidato cha IV wenye Stashahada (NTA Level 6 ) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Records Management, Archives Management,Records and Arichives Management, Arichive Documentation, Records and Information Managemen au fani nyingine zinazoendana na hizo kutoka katika Taasisi au Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
JOB-69770c47edcdf
Vacancy title:
Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja LA II (Records Management Assistant II)
[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Admin & Office, Civil & Government]
Jobs at:
Songea Municipal Council
Deadline of this Job:
Thursday, January 29 2026
Duty Station:
Tanzania | Tanzania
Summary
Date Posted: Monday, January 26 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Songea Municipal Council
Songea Municipal Council jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Duties and Responsibilities
- Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
- Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register);
- Kusambaza na kupokea majalada kutoka kwa Watendaji (action officers)
- Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa;
- Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking);
- Kuchambua,kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (Classification and Boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi;
- Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (File racks/Cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu;
- Kuweka Kumbukumbu(barua,nyaraka nk) katika mafaili;
- Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV wenye Stashahada (NTA Level 6 ) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Records Management, Archives Management,Records and Arichives Management, Arichive Documentation, Records and Information Managemen au fani nyingine zinazoendana na hizo kutoka katika Taasisi au Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Work Hours: 8
Experience in Months: 12
Level of Education: associate degree
Job application procedure
Application Period: 22/01/2026 - 29/01/2026
Application Link: Click Here to Apply Now
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION