2 Msaidizi wa Ofisi Jobs at Tume Ya Utumishi Wa Mahakama - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2285 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
2 Msaidizi wa Ofisi (TGOS A)

Jobs at:
Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Deadline of this Job:
6th February 2019  

Duty Station:
Dar es Salaam , Tanzania , East Africa , 255

Summary
Date Posted: 4th February 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh

 

JOB DETAILS:
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Tume Ya Utumishi Wa Mahakama
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011 inaipa Tume ya Utumishi wa Mahakama jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama pamoja na majukumu yake mengine.

Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Mahakama ya Tanzania katika Mikoa mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo ni:

2 Msaidizi wa Ofisi (TGOS A)
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti zifuatazo:
www.judiciary.go.tz 
www.ajira.go.tz
www.utumishi.go.tz 
www.tls.or.tz
www.Sheria.go.tz

 

{module 312}

Job application procedure
Kwa walioko Dodoma wafike Banda Na.33 la Tume ya Utumishi wa Mahakama katika Viwanja vya Nyerere Square kwenye maon esho ya Wiki ya Sheria kabla ya tarehe : 6/2/2019
Mwisho wa kupokea barua za maombi ya nafasi hizo za kazi ni tarehe 18/02/2019
Imetolewa na;
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P 8391,
DAR ES SALAAM

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 6th February 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 04-02-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 04-02-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 04-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.