2 Mkaguzi Daraja La II- Fani Ya Uhandisi Wa Maji Na Usafi Wa Mazingira (Water Supply And Sanitation Engineering)
2026-01-12T11:05:26+00:00
National Audit office of Tanzania (NAOT)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_6591/logo/National%20Audit%20office%20of%20Tanzania%20(NAOT).jpeg
https://www.nao.go.tz/
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Accounting
Science & Engineering, Civil & Government
2026-01-24T17:00:00+00:00
8
Background information about the job or company (e.g., role context, company overview)
Company: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
Responsibilities or duties
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications or requirements (e.g., education, skills)
Qualifications
- Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika Uhandisi wa Rasilimali Maji (Bachelor of Science in Water Resources Engineering), au Shahada ya Sayansi katika Uhandisi wa Mazingira (Bachelor of Science in Environmental Engineering) au Shahada ya Maendeleo ya Jamii katika Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira (Bachelor Degree in Community Development for Water Supply and Sanitation) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).

JOB-6964d5767a288
Vacancy title:
2 Mkaguzi Daraja La II- Fani Ya Uhandisi Wa Maji Na Usafi Wa Mazingira (Water Supply And Sanitation Engineering)
[Type: FULL_TIME, Industry: Accounting, Category: Science & Engineering, Civil & Government]
Jobs at:
National Audit office of Tanzania (NAOT)
Deadline of this Job:
Saturday, January 24 2026
Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam
Summary
Date Posted: Monday, January 12 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about National Audit office of Tanzania (NAOT)
National Audit office of Tanzania (NAOT) jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Background information about the job or company (e.g., role context, company overview)
Company: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
Responsibilities or duties
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications or requirements (e.g., education, skills)
Qualifications
- Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika Uhandisi wa Rasilimali Maji (Bachelor of Science in Water Resources Engineering), au Shahada ya Sayansi katika Uhandisi wa Mazingira (Bachelor of Science in Environmental Engineering) au Shahada ya Maendeleo ya Jamii katika Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira (Bachelor Degree in Community Development for Water Supply and Sanitation) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).
Work Hours: 8
Experience in Months: 36
Level of Education: bachelor degree
Job application procedure
Application Period: 10/01/2026 - 24/01/2026
Application Link: Click Here to Apply Now
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION