3 Makatibu Muhtasi Jobs at Tume ya Ufumishi ya Mahkama - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2339 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
3 Makatibu Muhtasi

Jobs at:
Tume ya Ufumishi ya Mahkama

Deadline of this Job:
14th December 2018

Duty Station:
Unguja, Pemba, Tanzania

Summary
Date Posted: 12th December 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Tume ya Utumishi Ya Mahkama

Tangazo la Nafasi za Kazi.
Tume ya Ufumishi ya Mahkama inafangaza nafasi za kazi kafika Mahkama za Unguja na Pemba kwa kada mbali mbali kama zifuatazo

Makatibu Muhtasi –

Nafasi Mbili (2) Unguja na nafasi moja (1) Pemba

Kwa Vituo vifuatavyo

  • Mahkama ya Kuu Vuga (1)
  • Mahkama ya Wilaya Makunduchi (1)
  • Mahkama Kuu Chake Chake Pemba (1)

Sifa za Muombaji.

  • Awe Mzanzibari
  • Awe nu Sfashahada ya Uhazili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Awe na uwezo wa kuchapa maneno sitini kwa dakika. Kazi za kufanya.
  • Kupiga chapa masuala ya siri, madokezo, taarifa na nyamka.
  • Kutunza taarifa, kumbukumbu za mafukio mbali mbali
  • Kuchapa mwenendo wa kesi (proceeding) kwa mujibu wa utaratibu uliopo.
  • Kufunza na kuhifadhi siri zote za kiofisi na zinazohusiana na mwenendo wa kesi zote anazozichapa.
  • Kupokea na kuhifadhi majalada yote yatakayo wasilishwa kwake kwa ajili ya uchapaji.
  • Kutoa muongozo kwa wahusika (wadai na wadaiwa) juu ya utaratibu wa malipo yote yanayohitajika juu ya mwenendo wa kesizao.
  • Kufanya kazi nyengine atakazopangiwa na mkuu wake.

SIFA ZA JUMLA

  • Awe nu uwezo wa kuzungumza na kuandika lugha ya Kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha.
  • Awe hajawahi kutiwa hafiani kwa kosa la jinai
  • Awe muadilifu
  • Awe tayari kufanya kazi popote katika visiwa vya Unguja na Pemba.
  • Asiwe muajiriwa wa Serikali, Mashirika nu taasisi zake.

Job application procedure
JINSI VA KUOMBA
Barua za waombaji zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
Katibu,
Tume ya Ufumishi ya Mahkama
S.L.P.160,
Zanzibar.

Muombaji anaweza kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Tume ya Ufumishi ya Mahkama iliyopo ndani ya jengo la Mahkama Kuu Unguju, wukuti wu suu zu kuzi. Kwu upunde wu Pembu muombi yuwusilishwe moju kwu moju Muhkumu Kuu Chuke Chuke wukufi wu suu zu kuzi.

Buruu zu muombi ziumbutunishwe na mambo yufuatayo:-

  • Maelezo binafsi yu muombuji (CV)
  • Kivuli cha cheti chu kumalizia musomo pamoju na mutokeo (trunscripts)
  • Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
  • Kivuli cha kitumbulisho cha Mzanzibar.
  • Picha mbili za Passport Size zilizopigwa karibuni.

Tarehe yaa mwisho ya kupokea muombi ni tarehe 14 Disemba, 2018 wakati wa saa zu kazi na muombuji atakae bahatiku ataitwa katiika usaili.

Muombuji anatakiwa ainishe nafasi moja tu ya kazi ambayo anayoiomba kati ya nafusi zilizoainishwa haapo juu pamoja na kituo cha kazi anachoomba, vyenginevyo maombi yake hayatozingafiwa.

Job Info
Job Category: Corporate / Organisation Specialist jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 14th December 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 12-12-2018
No of Jobs: 3
Start Publishing: 12-12-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 12-12-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.