Wasaidizi Wa Kiwandani (Wajibu Wengi) job at Industrial Packaging Limited
New
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)
2025-12-04T08:55:32+00:00
Industrial Packaging Limited
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_6495/logo/Industrial%20Pacakaging%20Limited.png
FULL_TIME
 
DAR ES SALAAM
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Manufacturing
Manufacturing & Warehouse, Cleaning & Facilities
TZS
 
MONTH
2025-12-20T17:00:00+00:00
 
Tanzania
8

BACKGROUND

IPL (INDUSTRIAL PACKAGING LIMITED) (IPL) NI KAMPUNI INAYOKUA KWA KASI KATIKA UZALISHAJI WA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI (FLEXIBLE PACKAGING). KUTOKANA NA UPANUZI WA SHUGHULI ZETU, TUNAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA WATU WENYE NIDHAMU, BIDII NA UWEZO WA KUFANYA KAZI ZA UZALISHAJI KUJIUNGA NA TIMU YETU.

JOB TITLE

WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)

PRODUCTION ROLES

KAZI ZA UZALISHAJI (SLITTING, REWINDING, EXTRUSION, PRINTING & LAMINATION)

EMPLOYMENT TYPE

MUDA WOTE (FULL-TIME)

REPORTING TO

MKUU WA ZAMU / MSIMAMIZI WA UZALISHAJI

JOB RESPONSIBILITIES

  • Kusaidia waendeshaji mashine katika vitengo vya Slitting, Rewinding, Extrusion, Printing na Lamination.
  • Kupakia na kupakua malighafi na bidhaa zilizokamilika.
  • Kuhakikisha usafi na mpangilio (5S) katika maeneo ya kazi na mashine.
  • Kusaidia kusogeza malighafi kati ya idara (stooala – uzalishaji – ubora).
  • Kusaidia waokoaji wa vifaa vya uzalishaji, masandiko ya hobi na marekebisho madogo madogo.
  • Kuweka lebo, kufunga na kuandaa bidhaa kulingana na maadizi ya uzalishaji.
  • Kufuatilia taratibu za usalama, ubora na maelekezo ya uzalishaji.
  • Kufanya majukumu mengine yatakayopangwa na msimamizi.

APPLICANT QUALIFICATIONS

  • Elimu ya kiwango cha darasa la nne (O-Level).
  • Uzoefu wa kufanya kazi kiwandani ni faida.
  • Uwezo wa kufanya kazi za usiku au mchana kwa zamu.
  • Awe mwenye nguvu, mwaminifu, mwenye nidhamu na anayejifunza kwa haraka.
  • Uwezo wa kufanya kazi zinazohitaji nguvu za mikono.

WHAT WE OFFER

  • Mshahara kulingana na viwango vya kampuni.
  • Fursa za kufanya ziada (Overtime) kulingana na mahitaji ya uzalishaji.
  • Mafunzo kazini na nafasi ya kupandishwa hadi kuwa operator wa mashine.
  • Mazingira salama na rafiki kwa wafanyakazi.

high school
24
JOB-69314c84b9fb0

Vacancy title:
WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)

[Type: FULL_TIME, Industry: Manufacturing, Category: Manufacturing & Warehouse, Cleaning & Facilities]

Jobs at:
Industrial Packaging Limited

Deadline of this Job:
Saturday, December 20 2025

Duty Station:
DAR ES SALAAM | Dar es Salaam | Tanzania

Summary
Date Posted: Thursday, December 4 2025, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Industrial Packaging Limited
Industrial Packaging Limited jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

BACKGROUND

IPL (INDUSTRIAL PACKAGING LIMITED) (IPL) NI KAMPUNI INAYOKUA KWA KASI KATIKA UZALISHAJI WA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI (FLEXIBLE PACKAGING). KUTOKANA NA UPANUZI WA SHUGHULI ZETU, TUNAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA WATU WENYE NIDHAMU, BIDII NA UWEZO WA KUFANYA KAZI ZA UZALISHAJI KUJIUNGA NA TIMU YETU.

JOB TITLE

WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)

PRODUCTION ROLES

KAZI ZA UZALISHAJI (SLITTING, REWINDING, EXTRUSION, PRINTING & LAMINATION)

EMPLOYMENT TYPE

MUDA WOTE (FULL-TIME)

REPORTING TO

MKUU WA ZAMU / MSIMAMIZI WA UZALISHAJI

JOB RESPONSIBILITIES

  • Kusaidia waendeshaji mashine katika vitengo vya Slitting, Rewinding, Extrusion, Printing na Lamination.
  • Kupakia na kupakua malighafi na bidhaa zilizokamilika.
  • Kuhakikisha usafi na mpangilio (5S) katika maeneo ya kazi na mashine.
  • Kusaidia kusogeza malighafi kati ya idara (stooala – uzalishaji – ubora).
  • Kusaidia waokoaji wa vifaa vya uzalishaji, masandiko ya hobi na marekebisho madogo madogo.
  • Kuweka lebo, kufunga na kuandaa bidhaa kulingana na maadizi ya uzalishaji.
  • Kufuatilia taratibu za usalama, ubora na maelekezo ya uzalishaji.
  • Kufanya majukumu mengine yatakayopangwa na msimamizi.

APPLICANT QUALIFICATIONS

  • Elimu ya kiwango cha darasa la nne (O-Level).
  • Uzoefu wa kufanya kazi kiwandani ni faida.
  • Uwezo wa kufanya kazi za usiku au mchana kwa zamu.
  • Awe mwenye nguvu, mwaminifu, mwenye nidhamu na anayejifunza kwa haraka.
  • Uwezo wa kufanya kazi zinazohitaji nguvu za mikono.

WHAT WE OFFER

  • Mshahara kulingana na viwango vya kampuni.
  • Fursa za kufanya ziada (Overtime) kulingana na mahitaji ya uzalishaji.
  • Mafunzo kazini na nafasi ya kupandishwa hadi kuwa operator wa mashine.
  • Mazingira salama na rafiki kwa wafanyakazi.

Work Hours: 8

Experience in Months: 24

Level of Education: high school

Job application procedure
Interested in applying for this job? Click here to submit your application now.

Tuma barua ya maombi na CV kupitia:

Tap Here to Check Out Today's Unique Offer .

KICHWA CHA BARUA YA MAOMBI: MSAIDIZI WA KIWANDANI

AU WASILISHA MAOMBI YAKO KWAKUFIK KATI YA GATI LA IPL (SECURITY GATE).

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20/12/2025

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Saturday, December 20 2025
Duty Station: DAR ES SALAAM | Dar es Salaam | Tanzania
Posted: 04-12-2025
No of Jobs: 1
Start Publishing: 04-12-2025
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.