Mkaguzi Daraja La II - Fani Ukadiriaji Ujenzi (Quantity Survey) job at National Audit office of Tanzania (NAOT)
New
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Mkaguzi Daraja La II - Fani Ukadiriaji Ujenzi (Quantity Survey)
2026-01-12T11:38:20+00:00
National Audit office of Tanzania (NAOT)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_6591/logo/National%20Audit%20office%20of%20Tanzania%20(NAOT).jpeg
FULL_TIME
 
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Accounting
Science & Engineering, Construction, Civil & Government
TZS
 
MONTH
2026-01-24T17:00:00+00:00
 
8

Duties and Responsibilities

  • Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit programme);
  • Kushiriki katika kuandaa taarifa ya ukaguzi kwa ajili ya tuhuma zilizotolewa/zilizopokelewa;
  • Kukusanya na kutunza ushahidi wa kaguzi;
  • Kuchanganua taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za kaguzi;
  • Kukusanya, kutunza taarifa za ukaguzi katika mpangilio mzuri; na
  • Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika Ukadiriaji na Uchumi wa Ujenzi (Bachelor of Science in Quantity Surveying and Construction Economics) au Shahada ya Sayansi katika Ukadiriaji Ujenzi na Ukarabati wa Majengo (Bachelor of Science in Building Surveying and Construction Maintenance) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).

  • Shahada ya Sayansi katika Ukadiriaji na Uchumi wa Ujenzi (Bachelor of Science in Quantity Surveying and Construction Economics) au Shahada ya Sayansi katika Ukadiriaji Ujenzi na Ukarabati wa Majengo (Bachelor of Science in Building Surveying and Construction Maintenance) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
bachelor degree
36
JOB-6964dd2cded9c

Vacancy title:
Mkaguzi Daraja La II - Fani Ukadiriaji Ujenzi (Quantity Survey)

[Type: FULL_TIME, Industry: Accounting, Category: Science & Engineering, Construction, Civil & Government]

Jobs at:
National Audit office of Tanzania (NAOT)

Deadline of this Job:
Saturday, January 24 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Monday, January 12 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about National Audit office of Tanzania (NAOT)
National Audit office of Tanzania (NAOT) jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Duties and Responsibilities

  • Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit programme);
  • Kushiriki katika kuandaa taarifa ya ukaguzi kwa ajili ya tuhuma zilizotolewa/zilizopokelewa;
  • Kukusanya na kutunza ushahidi wa kaguzi;
  • Kuchanganua taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za kaguzi;
  • Kukusanya, kutunza taarifa za ukaguzi katika mpangilio mzuri; na
  • Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika Ukadiriaji na Uchumi wa Ujenzi (Bachelor of Science in Quantity Surveying and Construction Economics) au Shahada ya Sayansi katika Ukadiriaji Ujenzi na Ukarabati wa Majengo (Bachelor of Science in Building Surveying and Construction Maintenance) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).

Work Hours: 8

Experience in Months: 36

Level of Education: bachelor degree

Job application procedure

Application Period: 10/01/2026 - 24/01/2026

Click Here to Apply Now

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Engineering jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Saturday, January 24 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 12-01-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 12-01-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.