Dereva (Driver) job at TEF Consult
New
Website :
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Dereva (Driver)
2025-12-02T06:52:56+00:00
TEF Consult
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_5130/logo/TEF-Consult-logo.png
FULL_TIME
 
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Consulting
Transportation & Logistics, Installation, Maintenance & Repair
TZS
 
MONTH
2025-12-16T17:00:00+00:00
 
Tanzania
8

Muhtasari wa Kazi

TEF Consult inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Dereva mwenye weledi, uwajibikaji, na uwezo wa kuendesha magari kwa usalama na uangalifu. Muombaji atakayechaguliwa atahakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari, kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari, pamoja na kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.

Sifa za Muombaji(Qualifications)

Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:

  • Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
  • Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).
  • Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.
  • Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.
  • Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).
  • Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.

Nyaraka za Kuambatanisha (Required Documents)

Waombaji wanapaswa kuwasilisha:

  • Barua ya maombi ya kazi
  • Nakala ya leseni ya udereva
  • Nakala ya kitambulisho cha NIDA
  • CV (Curriculum Vitae)
  • Cheti cha LATRA
  • Police Clearance (Uthibitisho wa kutokuwa na makosa ya jinai)
  • Mahali ulipo kwa sasa (Current location)
  • Kuhakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari.
  • Kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari.
  • Kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.
  • Ujuzi wa ufundi wa magari.
  • Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
  • Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).
  • Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.
  • Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.
  • Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).
  • Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.
professional certificate
24
JOB-692e8cc862ec3

Vacancy title:
Dereva (Driver)

[Type: FULL_TIME, Industry: Consulting, Category: Transportation & Logistics, Installation, Maintenance & Repair]

Jobs at:
TEF Consult

Deadline of this Job:
Tuesday, December 16 2025

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam | Tanzania

Summary
Date Posted: Tuesday, December 2 2025, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about TEF Consult
TEF Consult jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Muhtasari wa Kazi

TEF Consult inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Dereva mwenye weledi, uwajibikaji, na uwezo wa kuendesha magari kwa usalama na uangalifu. Muombaji atakayechaguliwa atahakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari, kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari, pamoja na kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.

Sifa za Muombaji(Qualifications)

Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:

  • Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
  • Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).
  • Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.
  • Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.
  • Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).
  • Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.

Nyaraka za Kuambatanisha (Required Documents)

Waombaji wanapaswa kuwasilisha:

  • Barua ya maombi ya kazi
  • Nakala ya leseni ya udereva
  • Nakala ya kitambulisho cha NIDA
  • CV (Curriculum Vitae)
  • Cheti cha LATRA
  • Police Clearance (Uthibitisho wa kutokuwa na makosa ya jinai)
  • Mahali ulipo kwa sasa (Current location)

Work Hours: 8

Experience in Months: 24

Level of Education: professional certificate

Job application procedure
Interested in applying for this job? Click here to submit your application now.

Jinsi ya Kuomba

Mada ya barua (Subject):Maombi ya Kazi – Dereva (Driver)

Human Resource Manager
Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult)
au kwa barua
P.O. Box 33542, Dar es Salaam, Tanzania
Or

Online Application:

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Logistics/ Transportation/ Procurement jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Tuesday, December 16 2025
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam | Tanzania
Posted: 02-12-2025
No of Jobs: 1
Start Publishing: 02-12-2025
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.