Daktari Bingwa Wa Magonjwa Ya Akina Mama Daraja LA II (Medical Specialist - Gynaecologist II) job at MDAs & LGAs
New
Website :
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Daktari Bingwa Wa Magonjwa Ya Akina Mama Daraja LA II (Medical Specialist - Gynaecologist II)
2026-02-14T07:49:07+00:00
MDAs & LGAs
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_3286/logo/MDAs%20&%20LGAs.jpg
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Public Administration, and Government
Healthcare, Doctors & Other Health Professionals, Civil & Government
TZS
MONTH
2026-02-27T17:00:00+00:00
8

Duties and Responsibilities

  • Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika;
  • Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi;
  • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa;
  • Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya;
  • Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake;
  • Kusimamia wafanyakazi walio chini yake Kubuni;
  • kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo;
  • Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake;
  • Kutoa huduma za outreach katika kanda;
  • Kutoa huduma za medical legal;
  • Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya;
  • Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini;
  • Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya 2 kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya;
  • Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya;
  • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari Bingwa au PhD kwenye fani ya Udaktari wa magonjwa ya akina mama kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.

  • Kuajiriwa wenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari Bingwa au PhD kwenye fani ya Udaktari wa magonjwa ya akina mama kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
  • Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
postgraduate degree
No Requirements
JOB-699028f35d6f7

Vacancy title:
Daktari Bingwa Wa Magonjwa Ya Akina Mama Daraja LA II (Medical Specialist - Gynaecologist II)

[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Healthcare, Doctors & Other Health Professionals, Civil & Government]

Jobs at:
MDAs & LGAs

Deadline of this Job:
Friday, February 27 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Saturday, February 14 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about MDAs & LGAs
MDAs & LGAs jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Duties and Responsibilities

  • Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika;
  • Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi;
  • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa;
  • Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya;
  • Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake;
  • Kusimamia wafanyakazi walio chini yake Kubuni;
  • kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo;
  • Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake;
  • Kutoa huduma za outreach katika kanda;
  • Kutoa huduma za medical legal;
  • Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya;
  • Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini;
  • Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya 2 kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya;
  • Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya;
  • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari Bingwa au PhD kwenye fani ya Udaktari wa magonjwa ya akina mama kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.

Work Hours: 8

Experience: No Requirements

Level of Education: postgraduate degree

Job application procedure

Application Period: 13/02/2026 - 27/02/2026

Click Here to Apply Now

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Friday, February 27 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 14-02-2026
No of Jobs: 17
Start Publishing: 14-02-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.