Afisa Msanifu Mifumo (System Developer 2)-Unguja job at Zanzibar Examinations Council (ZEC)
New
Website :
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Afisa Msanifu Mifumo (System Developer 2)-Unguja
2026-08-05T10:01:28+00:00
Zanzibar Examinations Council (ZEC)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_7167/logo/Zanzibar%20Examinations%20Council%20(ZEC).jpeg
FULL_TIME
UNGUJA
Tanzania
00000
Tanzania
Education, and Training
Computer & IT, Civil & Government, Science & Engineering
TZS
MONTH
2026-08-17T17:00:00+00:00
8

Baraza la Mitihani la Zanzibar (ZEC)

Responsibilities or duties

  • Kusanifu, kutengeneza, kufanya majaribio, kuweka katika matumizi (deploy System in to Production Development), kuendesha, na kutunza mifumo jumuishi ya TEHAMA (Full-Stack Applications), ikiwemo mifumo ya tovuti, programu za simu za mkononi, na mifumo ya kibiashara, kwa kuzingatia mahitaji ya Baraza, viwango vya ubora, usalama wa taarifa, na mbinu bora za uendelezaji wa programu.
  • Kujenga, kutekeleza na kuimarisha vipengele vya upande wa mtumiaji (Front-End) au upande wa seva (Back-End) kwa kutumia mifumo ya kisasa ya usanifu wa programu (Frameworks) na teknolojia zilizoidhinishwa.
  • Kusanifu, kutengeneza, kuimarisha utendaji na kusimamia hifadhidata (databases), hoja za hifadhidata (queries), taratibu zilizohifadhiwa (stored procedures), na miundo ya data (data models), kwa kuzingatia viwango vya ubora, usalama na ufanisi wa mifumo ya TEHAMA.
  • Kutengeneza, kutekeleza na kutunza miunganisho ya mifumo ya ndani na ya nje ya taasisi kwa kutumia Viunganishi vya Programu Tumizi (Application Programming Interfaces – APIs), Huduma za Tovuti (Web Services) na teknolojia nyingine za ujumuishaji wa mifumo (System Integration Technologies), ili kuhakikisha mifumo inawasiliana na kubadilishana taarifa kwa usalama.
  • Kuimarisha utendaji, usalama, uthabiti, upatikanaji (Availability) na uwezo wa mifumo kukuwa kulingana na mahitaji (scalability), pamoja na kutekeleza maboresho endelevu kwa kuzingatia Sera za Usalama wa Taarifa, Sera za TEHAMA, viwango vya ubora na miongozo ya Baraza la Mitihani la Zanzibar.
  • Kuchunguza, kubaini na kutatua hitilafu za mifumo katika mazingira ya uzalishaji (Production Environment), kurekebisha dosari za programu (Bugs), kuimarisha na kuhuisha mifumo, pamoja na kutoa msaada wa kiufundi ili kuhakikisha upatikanaji wa mifumo.
  • Kutekeleza majukumu mengine yanayohusiana na kazi yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa Kazi.

Qualifications or requirements 

  • Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya TEHAMA kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Awe na uwezo wa kutumia na kutengeneza mifumo ya komputa ya Taasisi kwa kutumia programing language kama TypeScript, Angular, React, Vue.js, Bootstrap, Tailwind CSS au PrimeNG, Spring Boot, Node.js (Express/NestJS), Laravel, (PHP), Python (Django), ASP.NET Core au Electron.
  • Uelewa mzuri wa mzunguko wa ujenzi wa programu (Software Development Life Cycle) na kufanya kazi katika mazingira yanayotumia mbinu ya Agile.
  • Ujuzi wa kutumia zana za maendeleo ya programu na DevOps, ikiwemo Git, GitHub au GitLab, pamoja na mifumo ya CI/CD kama GitHub Actions, GitLab CI au Jenkins. Uzoefu wa Docker na Kubernetes utakuwa sifa ya ziada.
  • Ujuzi wa kutengenezaji wa API, uthibitishaji wa watumiaji (JWT/OAuth2) na usanifu wa Microservices; uzoefu wa Full-Stack Development utakuwa sifa ya ziada.
  • Ujuzi wa kutumia angalau hifadhidata moja kati ya PostgreSQL, Microsoft SQL Server, Oracle Database au MongoDB.
  • Uwelewa wa matumizi ya programu huria (Open Source) itakuwa ni sifa ya ziada

  • TypeScript
  • Angular
  • React
  • Vue.js
  • Bootstrap
  • Tailwind CSS
  • PrimeNG
  • Spring Boot
  • Node.js (Express/NestJS)
  • Laravel (PHP)
  • Python (Django)
  • ASP.NET Core
  • Electron
  • Software Development Life Cycle
  • Agile methodologies
  • Git
  • GitHub
  • GitLab
  • CI/CD (GitHub Actions, GitLab CI, Jenkins)
  • Docker
  • Kubernetes
  • API development
  • JWT/OAuth2 authentication
  • Microservices architecture
  • Full-Stack Development
  • PostgreSQL
  • Microsoft SQL Server
  • Oracle Database
  • MongoDB
  • Open Source software usage
  • Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Shahada ya kwanza katika fani ya TEHAMA kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Uwezo wa kutumia na kutengeneza mifumo ya komputa ya Taasisi kwa kutumia programing language kama TypeScript, Angular, React, Vue.js, Bootstrap, Tailwind CSS au PrimeNG, Spring Boot, Node.js (Express/NestJS), Laravel, (PHP), Python (Django), ASP.NET Core au Electron.
  • Uelewa mzuri wa mzunguko wa ujenzi wa programu (Software Development Life Cycle) na kufanya kazi katika mazingira yanayotumia mbinu ya Agile.
  • Ujuzi wa kutumia zana za maendeleo ya programu na DevOps, ikiwemo Git, GitHub au GitLab, pamoja na mifumo ya CI/CD kama GitHub Actions, GitLab CI au Jenkins. Uzoefu wa Docker na Kubernetes utakuwa sifa ya ziada.
  • Ujuzi wa kutengenezaji wa API, uthibitishaji wa watumiaji (JWT/OAuth2) na usanifu wa Microservices; uzoefu wa Full-Stack Development utakuwa sifa ya ziada.
  • Ujuzi wa kutumia angalau hifadhidata moja kati ya PostgreSQL, Microsoft SQL Server, Oracle Database au MongoDB.
  • Uwelewa wa matumizi ya programu huria (Open Source) itakuwa ni sifa ya ziada
bachelor degree
No Requirements
JOB-6a7309f8462d5

Vacancy title:
Afisa Msanifu Mifumo (System Developer 2)-Unguja

[Type: FULL_TIME, Industry: Education, and Training, Category: Computer & IT, Civil & Government, Science & Engineering]

Jobs at:
Zanzibar Examinations Council (ZEC)

Deadline of this Job:
Monday, August 17 2026

Duty Station:
UNGUJA | Tanzania

Summary
Date Posted: Wednesday, August 5 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Zanzibar Examinations Council (ZEC)
Zanzibar Examinations Council (ZEC) jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Baraza la Mitihani la Zanzibar (ZEC)

Responsibilities or duties

  • Kusanifu, kutengeneza, kufanya majaribio, kuweka katika matumizi (deploy System in to Production Development), kuendesha, na kutunza mifumo jumuishi ya TEHAMA (Full-Stack Applications), ikiwemo mifumo ya tovuti, programu za simu za mkononi, na mifumo ya kibiashara, kwa kuzingatia mahitaji ya Baraza, viwango vya ubora, usalama wa taarifa, na mbinu bora za uendelezaji wa programu.
  • Kujenga, kutekeleza na kuimarisha vipengele vya upande wa mtumiaji (Front-End) au upande wa seva (Back-End) kwa kutumia mifumo ya kisasa ya usanifu wa programu (Frameworks) na teknolojia zilizoidhinishwa.
  • Kusanifu, kutengeneza, kuimarisha utendaji na kusimamia hifadhidata (databases), hoja za hifadhidata (queries), taratibu zilizohifadhiwa (stored procedures), na miundo ya data (data models), kwa kuzingatia viwango vya ubora, usalama na ufanisi wa mifumo ya TEHAMA.
  • Kutengeneza, kutekeleza na kutunza miunganisho ya mifumo ya ndani na ya nje ya taasisi kwa kutumia Viunganishi vya Programu Tumizi (Application Programming Interfaces – APIs), Huduma za Tovuti (Web Services) na teknolojia nyingine za ujumuishaji wa mifumo (System Integration Technologies), ili kuhakikisha mifumo inawasiliana na kubadilishana taarifa kwa usalama.
  • Kuimarisha utendaji, usalama, uthabiti, upatikanaji (Availability) na uwezo wa mifumo kukuwa kulingana na mahitaji (scalability), pamoja na kutekeleza maboresho endelevu kwa kuzingatia Sera za Usalama wa Taarifa, Sera za TEHAMA, viwango vya ubora na miongozo ya Baraza la Mitihani la Zanzibar.
  • Kuchunguza, kubaini na kutatua hitilafu za mifumo katika mazingira ya uzalishaji (Production Environment), kurekebisha dosari za programu (Bugs), kuimarisha na kuhuisha mifumo, pamoja na kutoa msaada wa kiufundi ili kuhakikisha upatikanaji wa mifumo.
  • Kutekeleza majukumu mengine yanayohusiana na kazi yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa Kazi.

Qualifications or requirements 

  • Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya TEHAMA kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Awe na uwezo wa kutumia na kutengeneza mifumo ya komputa ya Taasisi kwa kutumia programing language kama TypeScript, Angular, React, Vue.js, Bootstrap, Tailwind CSS au PrimeNG, Spring Boot, Node.js (Express/NestJS), Laravel, (PHP), Python (Django), ASP.NET Core au Electron.
  • Uelewa mzuri wa mzunguko wa ujenzi wa programu (Software Development Life Cycle) na kufanya kazi katika mazingira yanayotumia mbinu ya Agile.
  • Ujuzi wa kutumia zana za maendeleo ya programu na DevOps, ikiwemo Git, GitHub au GitLab, pamoja na mifumo ya CI/CD kama GitHub Actions, GitLab CI au Jenkins. Uzoefu wa Docker na Kubernetes utakuwa sifa ya ziada.
  • Ujuzi wa kutengenezaji wa API, uthibitishaji wa watumiaji (JWT/OAuth2) na usanifu wa Microservices; uzoefu wa Full-Stack Development utakuwa sifa ya ziada.
  • Ujuzi wa kutumia angalau hifadhidata moja kati ya PostgreSQL, Microsoft SQL Server, Oracle Database au MongoDB.
  • Uwelewa wa matumizi ya programu huria (Open Source) itakuwa ni sifa ya ziada

Work Hours: 8

Experience: No Requirements

Level of Education: bachelor degree

Job application procedure

Apply

Click Here to Apply Now

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Computer/ IT jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Monday, August 17 2026
Duty Station: UNGUJA | Tanzania
Posted: 05-08-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 05-08-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.