Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja LA II (Assistant Environmental health Officer Grade II) job at MDAs & LGAs
New
Website :
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja LA II (Assistant Environmental health Officer Grade II)
2026-02-14T07:49:05+00:00
MDAs & LGAs
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_3286/logo/MDAs%20&%20LGAs.jpg
FULL_TIME
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Public Administration, and Government
Science & Engineering, Healthcare, Civil & Government
TZS
MONTH
2026-02-27T17:00:00+00:00
8

Duties and Responsibilities

  • Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa;
  • Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa;
  • Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza;
  • Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika;
  • Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili;
  • Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii;
  • Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii;
  • Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo;
  • Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira;
  • Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata; na
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.

  • Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali
  • Amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.
bachelor degree
No Requirements
JOB-699028f187e10

Vacancy title:
Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja LA II (Assistant Environmental health Officer Grade II)

[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Science & Engineering, Healthcare, Civil & Government]

Jobs at:
MDAs & LGAs

Deadline of this Job:
Friday, February 27 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Saturday, February 14 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about MDAs & LGAs
MDAs & LGAs jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Duties and Responsibilities

  • Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa;
  • Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa;
  • Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza;
  • Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika;
  • Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili;
  • Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii;
  • Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii;
  • Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo;
  • Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira;
  • Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata; na
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.

Work Hours: 8

Experience: No Requirements

Level of Education: bachelor degree

Job application procedure

Application Period: 13/02/2026 - 27/02/2026

Application Link: Click Here to Apply Now

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Environment, Forestry and Agriculture jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Friday, February 27 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 14-02-2026
No of Jobs: 172
Start Publishing: 14-02-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.