WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)
2025-12-04T08:55:32+00:00
Industrial Packaging Limited
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_6495/logo/Industrial%20Pacakaging%20Limited.png
https://ipl.co.tz/
FULL_TIME
DAR ES SALAAM
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Manufacturing
Manufacturing & Warehouse, Cleaning & Facilities
2025-12-20T17:00:00+00:00
Tanzania
8
BACKGROUND
IPL (INDUSTRIAL PACKAGING LIMITED) (IPL) NI KAMPUNI INAYOKUA KWA KASI KATIKA UZALISHAJI WA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI (FLEXIBLE PACKAGING). KUTOKANA NA UPANUZI WA SHUGHULI ZETU, TUNAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA WATU WENYE NIDHAMU, BIDII NA UWEZO WA KUFANYA KAZI ZA UZALISHAJI KUJIUNGA NA TIMU YETU.
JOB TITLE
WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)
PRODUCTION ROLES
KAZI ZA UZALISHAJI (SLITTING, REWINDING, EXTRUSION, PRINTING & LAMINATION)
EMPLOYMENT TYPE
MUDA WOTE (FULL-TIME)
REPORTING TO
MKUU WA ZAMU / MSIMAMIZI WA UZALISHAJI
JOB RESPONSIBILITIES
- Kusaidia waendeshaji mashine katika vitengo vya Slitting, Rewinding, Extrusion, Printing na Lamination.
- Kupakia na kupakua malighafi na bidhaa zilizokamilika.
- Kuhakikisha usafi na mpangilio (5S) katika maeneo ya kazi na mashine.
- Kusaidia kusogeza malighafi kati ya idara (stooala – uzalishaji – ubora).
- Kusaidia waokoaji wa vifaa vya uzalishaji, masandiko ya hobi na marekebisho madogo madogo.
- Kuweka lebo, kufunga na kuandaa bidhaa kulingana na maadizi ya uzalishaji.
- Kufuatilia taratibu za usalama, ubora na maelekezo ya uzalishaji.
- Kufanya majukumu mengine yatakayopangwa na msimamizi.
APPLICANT QUALIFICATIONS
- Elimu ya kiwango cha darasa la nne (O-Level).
- Uzoefu wa kufanya kazi kiwandani ni faida.
- Uwezo wa kufanya kazi za usiku au mchana kwa zamu.
- Awe mwenye nguvu, mwaminifu, mwenye nidhamu na anayejifunza kwa haraka.
- Uwezo wa kufanya kazi zinazohitaji nguvu za mikono.
WHAT WE OFFER
- Mshahara kulingana na viwango vya kampuni.
- Fursa za kufanya ziada (Overtime) kulingana na mahitaji ya uzalishaji.
- Mafunzo kazini na nafasi ya kupandishwa hadi kuwa operator wa mashine.
- Mazingira salama na rafiki kwa wafanyakazi.

JOB-69314c84b9fb0
Vacancy title:
WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)
[Type: FULL_TIME, Industry: Manufacturing, Category: Manufacturing & Warehouse, Cleaning & Facilities]
Jobs at:
Industrial Packaging Limited
Deadline of this Job:
Saturday, December 20 2025
Duty Station:
DAR ES SALAAM | Dar es Salaam | Tanzania
Summary
Date Posted: Thursday, December 4 2025, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Industrial Packaging Limited
Industrial Packaging Limited jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
BACKGROUND
IPL (INDUSTRIAL PACKAGING LIMITED) (IPL) NI KAMPUNI INAYOKUA KWA KASI KATIKA UZALISHAJI WA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI (FLEXIBLE PACKAGING). KUTOKANA NA UPANUZI WA SHUGHULI ZETU, TUNAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA WATU WENYE NIDHAMU, BIDII NA UWEZO WA KUFANYA KAZI ZA UZALISHAJI KUJIUNGA NA TIMU YETU.
JOB TITLE
WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)
PRODUCTION ROLES
KAZI ZA UZALISHAJI (SLITTING, REWINDING, EXTRUSION, PRINTING & LAMINATION)
EMPLOYMENT TYPE
MUDA WOTE (FULL-TIME)
REPORTING TO
MKUU WA ZAMU / MSIMAMIZI WA UZALISHAJI
JOB RESPONSIBILITIES
- Kusaidia waendeshaji mashine katika vitengo vya Slitting, Rewinding, Extrusion, Printing na Lamination.
- Kupakia na kupakua malighafi na bidhaa zilizokamilika.
- Kuhakikisha usafi na mpangilio (5S) katika maeneo ya kazi na mashine.
- Kusaidia kusogeza malighafi kati ya idara (stooala – uzalishaji – ubora).
- Kusaidia waokoaji wa vifaa vya uzalishaji, masandiko ya hobi na marekebisho madogo madogo.
- Kuweka lebo, kufunga na kuandaa bidhaa kulingana na maadizi ya uzalishaji.
- Kufuatilia taratibu za usalama, ubora na maelekezo ya uzalishaji.
- Kufanya majukumu mengine yatakayopangwa na msimamizi.
APPLICANT QUALIFICATIONS
- Elimu ya kiwango cha darasa la nne (O-Level).
- Uzoefu wa kufanya kazi kiwandani ni faida.
- Uwezo wa kufanya kazi za usiku au mchana kwa zamu.
- Awe mwenye nguvu, mwaminifu, mwenye nidhamu na anayejifunza kwa haraka.
- Uwezo wa kufanya kazi zinazohitaji nguvu za mikono.
WHAT WE OFFER
- Mshahara kulingana na viwango vya kampuni.
- Fursa za kufanya ziada (Overtime) kulingana na mahitaji ya uzalishaji.
- Mafunzo kazini na nafasi ya kupandishwa hadi kuwa operator wa mashine.
- Mazingira salama na rafiki kwa wafanyakazi.
Work Hours: 8
Experience in Months: 24
Level of Education: high school
Job application procedure
Interested in applying for this job? Click here to submit your application now.
Tuma barua ya maombi na CV kupitia:
Tap Here to Check Out Today's Unique Offer .
KICHWA CHA BARUA YA MAOMBI: MSAIDIZI WA KIWANDANI
AU WASILISHA MAOMBI YAKO KWAKUFIK KATI YA GATI LA IPL (SECURITY GATE).
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20/12/2025
All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION