Opportunity Job at Global TV ONLINE - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2337 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Opportunity jobs

Jobs at:
Global TV ONLINE

Deadline of this Job:
15th January, 2019

Duty Station:
Tanzania

Summary
Date Posted: 14th December 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

Global TV Online is owned by Global Publishers & General Enterprises Limited, a registered private company dealing with publishing weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi, Ijumaa Wikienda & Spoti Xtra.

JOB DETAILS:
KAZI - WATANGAZAJI WA SIASA NA BURUDANI
Global TV ONLINE, ni televisheni ya mtandaoni (Online TV) yenye watazamaji wengi duniani, inahitaji watangazaji wa habari za siasa na burudani wenye uwezo na ari ya kufanya kazi kwenye televisheni wenye

sifa zifuatazo:

  • Wanahitajika vijana wa kiume na kike wenye uwezo wa kufanya mahojiano na watu maarufu katika upande wa masuala ya siasa za kitaifa na kimataifa au upande wa burudani, wasanii wa kitaifa na wa kimataifa. Wanahitajika vijana wenye uzoefu na kazi hii usiopungua miaka 2.
  • Kijana mwenye sifa hizo, atakuwa na jukumu la kuwatafuta viongozi au watu maarufu na kufanya nao mahojiano kwa ajili ya kurushwa kwenye Global TV Online.

MWISHO:

  • Kama unafikiri unazo sifa zilizotajwa hapo, tuandikie barua au barua pepe ya kujieleza ikiambatana na vielelezo vyako.
  • Kujieleza kwako kwa nini unadhani unastahili kupewa kazi hiyo, ni muhimu zaidi kuliko kuambatanisha CV yako.
  • Maelezo yako yatume kwenda:

Job application procedure
GLOBAL TV amsalawi@yahoo.com  au lete barua yako ofisini kwetu, Mori Road, Sinza Mori, Global Group House Block 43. Mwisho wa kupokea maombi ni Januari 15, 2019.

Job Info
Job Category: Communications/ Public Relations jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15th January 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 14-12-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 14-12-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 14-12-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.