Mwawakala wa mauzo Job at National Printing Company Ltd (KIUTA) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Mwawakala wa mauzo

Jobs at:
National Printing Company Ltd (KIUTA)

Deadline of this Job:
27th November 2018

Duty Station:
Tanzania

Summary
Date Posted: 14th November 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:

TANGAZO LA KAZI ZA UWAKALA
Kampuni kubwa ya Uchapaji iliyopo Dar es Salaam inayofanya kazi za Uchapaji we bidhaa mbali mbali zikiwemo Vitabu, Nyaraka nyeti, na nyaraka za maofisini na vyuoni za kila aina zenye unyeti mkubwa, Risiti mbalimloali za Computer na Risiti za EFD, \/ipeperushi, Kalenda, Diary n.k.

Kwa sasa inahitaji Mawakala wenye uwezo wa kutafuta na kuleta kazi za Uchapaji ambao wataiwakilisha kamouni katika kila Mji/Jiji nchini Tanzania Bara na Visiwani.

MAJUKUMU YA WAKALA

  • Kutafuta Masoko (Oda) ya kazi mbali mbali za kuchapa kutoka katika eneo husika.
  • Kutuma Tender/Quotation document kwa EMS/Email
  • Kutuma kuvuli cha kazi kupitia email/whats-up
  • Kufuatilia malipo ambayo yatalipwa kwa cheque kupitia benki na kutuma deposit slip MALIPO

Wakala atalipwa kwa kila kazi (Oda) atakayoleta (Sales-Commission) iliyokamilika na kupata malipo yake. Kioato ni kikubwa na cha Uhakika.

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe Mwaminifu na umri usiopungua miaka i8
  • Awe na elimu isiyopunguwa kidato cha 4
  • Awe na email address na simu ya smart phone
  • Awe na uwezo wa kutafuta oda za kuchapa au
  • Awe na biashara ya Stationery au
  • Awe na biashara ya Graphic designing au
  • Awe na biashara ya Uchapishaji (Publishing).

Job application procedure

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI

  • Andika Barua ya Maombi kwa Mkurugenzi Mwendeshaji kupitia email: info@npc.co.tz  na ambatanisha nakala za vyeti, leseni na CV yako.
  • Barua itaje Mkoa na mji utakapofanyia kazi ya Uwakala. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Meneja Masoko -
    Simu : 0755-431 611/0715-160356, Email: info@npc.co.tz
Job Info
Job Category: Sales jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 27th November 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 14-11-2018
No of Jobs: 10
Start Publishing: 14-11-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 14-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.