Mkaguzi Daraja La II - Fani Ya Sayansi Ya Takwimu Bima (Actuarial Science) job at National Audit office of Tanzania (NAOT)
New
Today
Linkedid Twitter Share on facebook
Mkaguzi Daraja La II - Fani Ya Sayansi Ya Takwimu Bima (Actuarial Science)
2026-01-12T11:38:27+00:00
National Audit office of Tanzania (NAOT)
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_6591/logo/National%20Audit%20office%20of%20Tanzania%20(NAOT).jpeg
FULL_TIME
 
Dar es Salaam
Dar es Salaam
00000
Tanzania
Accounting
Accounting & Finance, Science & Engineering, Civil & Government
TZS
 
MONTH
2026-01-24T17:00:00+00:00
 
8

Duties and Responsibilities

  • Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (audit programme);
  • Kushiriki katika kuandaa taarifa za kila robo mwaka na kuziwasilisha kwa msimamizi wa kazi;
  • Kukagua hati za malipo, stakabadhi na akaunti za benki;
  • Kufanya uchunguzi wa mifumo ya udhibiti wa ndani na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
  • Kufanya ukaguzi wa kushtukiza wa fedha na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
  • Kutekeleza mwongozo wa ukaguzi wa Ofisi;
  • Kushirikiana na Wakaguliwa kujadili masuala yanayoathiri maendeleo ya ukaguzi;
  • Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;
  • Kutathmini mipango ya kazi na kuandaa marekebisho ya msingi na kuyawasilisha kwa msimamizi wa kazi;
  • Kutayarisha hoja, barua za ukaguzi na taarifa za kila mwaka; na
  • Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Kwanza katika Bima (Bachelor Degree in Insurance) au Shahada ya Sayansi katika Takwimu za Bima (Bachelor of Science in Acturial Science) kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

  • Shahada ya Kwanza katika Bima (Bachelor Degree in Insurance) au Shahada ya Sayansi katika Takwimu za Bima (Bachelor of Science in Acturial Science) kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
bachelor degree
36
JOB-6964dd33a9cf3

Vacancy title:
Mkaguzi Daraja La II - Fani Ya Sayansi Ya Takwimu Bima (Actuarial Science)

[Type: FULL_TIME, Industry: Accounting, Category: Accounting & Finance, Science & Engineering, Civil & Government]

Jobs at:
National Audit office of Tanzania (NAOT)

Deadline of this Job:
Saturday, January 24 2026

Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam

Summary
Date Posted: Monday, January 12 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about National Audit office of Tanzania (NAOT)
National Audit office of Tanzania (NAOT) jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Duties and Responsibilities

  • Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (audit programme);
  • Kushiriki katika kuandaa taarifa za kila robo mwaka na kuziwasilisha kwa msimamizi wa kazi;
  • Kukagua hati za malipo, stakabadhi na akaunti za benki;
  • Kufanya uchunguzi wa mifumo ya udhibiti wa ndani na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
  • Kufanya ukaguzi wa kushtukiza wa fedha na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
  • Kutekeleza mwongozo wa ukaguzi wa Ofisi;
  • Kushirikiana na Wakaguliwa kujadili masuala yanayoathiri maendeleo ya ukaguzi;
  • Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;
  • Kutathmini mipango ya kazi na kuandaa marekebisho ya msingi na kuyawasilisha kwa msimamizi wa kazi;
  • Kutayarisha hoja, barua za ukaguzi na taarifa za kila mwaka; na
  • Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Kwanza katika Bima (Bachelor Degree in Insurance) au Shahada ya Sayansi katika Takwimu za Bima (Bachelor of Science in Acturial Science) kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

Work Hours: 8

Experience in Months: 36

Level of Education: bachelor degree

Job application procedure

Application Period: 10/01/2026 - 24/01/2026

Application Link: Click Here to Apply Now

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Saturday, January 24 2026
Duty Station: Dar es Salaam | Dar es Salaam
Posted: 12-01-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 12-01-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.