Vacancy title:
Akiolojia Daraja La II-Unguja
[Type: FULL_TIME, Industry: Public Administration, and Government, Category: Science & Engineering, Civil & Government]
Jobs at:
Ministry of Tourism and Heritage Zanzibar
Deadline of this Job:
Thursday, August 13 2026
Duty Station:
Dar es Salaam | Dar es Salaam
Summary
Date Posted: Sunday, August 2 2026, Base Salary: Not Disclosed
Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Ministry of Tourism and Heritage Zanzibar
Ministry of Tourism and Heritage Zanzibar jobs in Tanzania
JOB DETAILS:
Ministry of Tourism and Heritage Zanzibar
Responsibilities or duties
1. Kufanya tafiti mbalimbali zilizopo ardhini.
2. Kuandaa mikakati ya uhifadhi, usimamizi na uendelezaji wa uridhi wa utamaduni. uliopo ardhini.
3.Kutoa taarifa na uelewa juu ya urithi uliopo.
4. Kuandaa ripoti juu ya urithi uliopo.
5. Kuandaa maelezo ya maeneo ya urithi uliopo
Qualifications or requirements (e.g., education, skills)
1. Awe Mzanzibar.
2. Mwenye umri usiozidi miaka 45.
3. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Akiolojia na Historia kutoka katika Chuo kinachotambulikana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Work Hours: 8
Experience: No Requirements
Level of Education: bachelor degree
Job application procedure
Apply
Period: 31/07/2026 - 13/08/2026
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.