Technician Grade II - Water Job at Public Service Recruitment Secretariat - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Technician Grade II - Water

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Science & Engineering ]

 

Jobs at:

Public Service Recruitment Secretariat

Deadline of this Job:
03 March 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, February 20, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi Ya Rais Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Kumb. Na EA.7/96/01/ K/163 19 Februari, 2020
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa na Idara Zinazojitegemea anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi saba (7) kama zilivyoainishwa hapa chini.
FUNDI SANIFU DARAJA LA II - MAJI - (Technician Grade II - Water) .

MAJUKUMU YA KAZI
• Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji;
• Kutunza takwimu za maji;
• Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na: H: 12 tayari kwa kutumiwa kwenye michoro;
• Kuchora hydrograph za maji;
• Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi na sinia za maji;
• Kufanya matengenezo ya vifaa vyote vya kupimia maji na hali ya hewa;
• Kuingiza takwimu kwenye kompyuta; na
• Kufundisha wasoma vipimo.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi (FTC) au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa iliyoandikwa kwa Kiswahili au Kiingereza na barua hiyo ielekezwe kwa Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bararaba ya 8, Kivukoni S.L.P 63100 Dar Es Salaam.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 03 Machi, 2020.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo;- http://portal.ajira.go.tz/  (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Technician jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 3rd March 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 20-02-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 20-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.