Mhasibu Job at Chawakim Cooperative Society Ltd - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Mhasibu

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Accounting & Finance ]

 

Jobs at:

Chawakim Cooperative Society Ltd

Deadline of this Job:
10 February 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, January 28, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Chawakim Cooperative Society Ltd .

MAJUKUMU YA KAZI
• Kusimamia utendaji wa kazi katika Idara ya Uhasibu;
• Kuandaa hesabu za mwaka na kuhakikisha zinawakilishwa kwa mkaguzi wa nje(COASCO) kulingana na taratibu za ukaguzi;
• Kusimamia watumishi wote wanaoshughulika na kazi za fedha za Chama;
• Kusimamia utunzaji wa mapato ya Chama na kuhakikisha matumizi yanaendana na yale yaliyoidhinishwa;
• Kusimamia utayarishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka na kuwasilisha bajeti kwa Meneja wa Chama;
• Kutoa taarifa ya fedha za Chama kila mwezi, kila baada ya miezi mitatu na mwisho wa mwaka kwa Meneja;
• Kutoa ushauri mara kwa mara kwa Meneja kuhusu hali ya mapato na matumizi;
• Kutayarisha na kutoa malipo yaliyoidhinishwa na mamlaka ya fedha kulingana na taratibu za fedha;
• iKufanya malinganisho ya miamala ya leja kuu na hesabu za benki kila mwezi;
• Kubuni mbinu za kupata mapato ya ziada kwa Chama;
• Kushirikiana na wakaguzi wa hesabu wa ndani na nje katika kukamilisha ukaguzi wa hesabu za Chama;
• Kutimiza majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi;


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na umri wa miaka 30 na kuendelea;
• Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu (3) wa kufanya kazi za uhasibu kwenye taasisi yoyote inayotambulika au katika Chama cha Ushirika
• Awe na Shahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na awe na CPA (T) • Awe na ujuzi wa kutumia Computer hasa Tally programu
• Awe na sifa ya uadilifu;
• Awe hajawahi kufukuzwa kazi kwa tuhuma za upotevu wa fedha.

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA NAFASI YA KAZI
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika, Barua iliyoandikwa kwa mkono na kusainia.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika, Vyeti vya kitaaluma (Professional Certificate from respective Board)
• “Testmonials” “Provisional Results”, “Statement of results” hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA, na NACTE)
• Mwombaji atakayeitwa kwenye usaili aje na vyeti halisi siku ya usaili
• Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA
• Maombi yote yatumwe kupitia anuani tajwa hapa chini
• Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10th February 2020
MWENYEKITI WA BODI
CHAWAKIM COOPERATIVE SOCIETY LTD
S.L.P 30871,
KIBAHA, TANZANIA.
E mail: chawakim@yahoo.com


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Accounting/ Finance jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 10th February 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 28-01-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 28-01-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 29-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.