Kiswahli Teachers Job at Msingi Hope Girls And Boys School - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Kiswahli Teachers

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Teachers & Education ]

 

Jobs at:

Msingi Hope Girls And Boys School

Deadline of this Job:
15 January 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, January 07, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Shule inatangaza nafasi za ualimu kwa mwaka 2020 ambapo udahili Utaanza kufanyika mwezi wa January 2020. Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo: .

SIFA ZA JUMLA
Waombaji wa nafasi tajwa hapo juu wawe na sifa za jumla zifuatazo:
• Awe ni Mtanzania;
Awe amehitimu chuo kinachotambulika na Serikali;
• Asiwe na umri wa zaidi ya Miaka thelathini na tano (35) wakati wa kutuma maombi haya;
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 15 January, 2020.

Job Skills: Not Specified


WALIMU WATAKAOAJIRIWA SHULE ZA MSINGI
• Mwalimu Daraja la IIIA - mwenye Astashahada (Cheti) ya Ualimu;
• Mwalimu Daraja la IIIB - mwenye Stashahada (Diploma ya Ualimu katika masomo ya English, Civics, Historia, Jiografia na Kiswahili .
Mwalimu Daraja la IIIC - mwenye Shahada ya Ualimu kwa masomo ya English, Civics, General Studies, History, Geography & Kiswahili..


Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
MWISHO Maombi yote yawasilishwe kwa Ofisi ya Meneja wa Shule ya Awali na Msingi HOPE GIRLS & BOYS SCHOOL P.O. Box 12283 | Arusha, Tanzania Email: hopegirlsandboysschool@gmail.com  Telephone: +255 689 554 440

All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Education/ Academic/ Teaching jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15th January, 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 07-01-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 07-01-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 08-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.