Afisa Tehama Job at Tanzania Electrical, Mechanical and Services Agency (TEMESA) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Afisa Tehama

[ Type: FULL TIME , Industry: Engineering Service , Category: Management ]

 

Jobs at:

Tanzania Electrical, Mechanical and Services Agency (TEMESA)

Deadline of this Job:
30th September 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, September 19, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa Sheria Na 30 ya mwaka 1997. Majukumu yake makubwa ni kutoa huduma za matengenezo ya magari na mitambo, huduma za Umeme ikiwa ni pamoja na kufanya matengenezo ya taa za barabarani, kufanya matengenezo ya majokofu, viyoyozi na kufanya matengenezo ya mifumo ya TEHAMA na vifaa vya elektroniki, kutoa huduma za vivuko na huduma za ushauri. Mkuu wa Kivuko cha Magogoni Dar es Salaam, katika kuhakikisha kuwa majukumu ya Wakala yanat kelezwa vizuri, anatangaza nafasi za kazi za muda kama ifuatavyo: Afisa Tehama .

Sifa za mwombaji: Awe na cheti cha kidato cha nne Awe na Stashahada ya juu au Shahada ya kompyuta katika moja wapo ya fani zifuatazo: Sayansi ya kompyuta, Teknolojia ya Habari na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Menejimenti ya Mifumo ya Habari au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.


Majukumu
• Kusanifu, kusakinisha na kusanidi miundombinu ya ndani na nje ya mtandao wa Kompyuta (Design, install and configure LAN and WAN infrustructure
• Kufanya majaribio ya vifaa vya mtandao wa Kompyuta Test network equipment and divices)
• Kusimamia utekelezaji wa alama za mtandao wa kompyut (Implement net tork Security) maelekezo ya usalama wa mtandao kwa mujibu wa miongozo ya "usty guidelines",
• Kutathmini na kurekebisha hitilafu zozote za mtandao wa Kompyuta (Perform network troubleshooting and repair), na Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa Watumishi wa Umma.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti husika, picha mbili ndogo (passport size) za mwombaji na taarifa binafsi (curriculum vitae) ya mwombaji. Waombaji watakaokuwa na sifa zinazohitajika ndio watakaoitwa kwenye usaili.
• Barua za maombi, zitumwe kwa:
MKUU WA KIVUKO,
KIVUKO CHA MAGOGONI TEMESA,
S.L.P. 9691, DAR ES SALAAM.
N.B. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/09/2019


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Corporate / Organisation Officer jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 30th September 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 19-09-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 19-09-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.