5 Auditors Grade II Job at Public Service Recruitment Secretariat - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
5 Auditors Grade II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Management ]

 

Jobs at:

Public Service Recruitment Secretariat

Deadline of this Job:
03 March 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, February 20, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi Ya Rais Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Kumb. Na EA.7/96/01/ K/163 19 Februari, 2020
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa na Idara Zinazojitegemea anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi saba (7) kama zilivyoainishwa hapa chini.
5 MKAGUZI WA HESABU DARAJA LA II (5 Auditors Grade II) .

MAJUKUMU YA KAZI
• Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;
• Kushiriki kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mpango wa kazi za ukaguzi wa kila mwaka;
• Kushiriki kufanya tathmini ya mpango wa kazi na kupendekeza mabadiliko inapobidi kulingana na tathmini ya taarifa ya utekelezaji wa mpango wa kazi;
• Kuhakikisha kuwa hoja na barua za ukaguzi zinatolewa na kushughulikiwa kwa wakati unaotakiwa;
• Kushiriki, kutayarisha na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit Programme);
• Kushiriki kupanga na kuratibu mpango wa kazi za ukaguzi;
• Kutayarisha hoja na barua za ukaguzi; na
• Kutunza daftari za kumbukumbu mbalimbali za hesabu katika kituo chake kwa maelekezo ya kiongozi mahali pa kazi.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa wenye Shahada ya Biashara au Sanaa yenye mwelekeo wa Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu (Advanced Diploma in Accounting) kutoka vyuo au taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali. Wenye uzoefu wa kazi za ukaguzi wa hesabu kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) watafikiriwa kwanza.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa iliyoandikwa kwa Kiswahili au Kiingereza na barua hiyo ielekezwe kwa Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bararaba ya 8, Kivukoni S.L.P 63100 Dar Es Salaam.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 03 Machi, 2020.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo;- http://portal.ajira.go.tz/  (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 3rd March 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 20-02-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 20-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.