3 job opportunities Job at Dar es Salaam City Council director - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
3 job opportunities

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Accounting & Finance ]

 

Jobs at:

Dar es Salaam City Council director

Deadline of this Job:
23 January 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, January 16, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wenye sifa, nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari wilaya ya Temeke, Ilala na Kinondoni ushuru wa mlangoni na vyooni Ubungo, ushuru na usafi DRIMP na usafi Makao Makuu, Karimjee na Mwananyamala. Kazi hii itakuwa ni ya Mkataba wa miezi mitatu na mshahara utalipwa kwa kuzingatia Sheria ya Ajira Cap. 300 "Wage Order" 2013 ambao utakuwa kuanzia Sh.150,000/= kwa mwezi. .

MAELEKEZO YA JUMLA Waombaji waambatishe vivuli vya vyeti vya taaluma zao pamoja na cheti cha kuzaliwa. Kila barua ya muombaji iambatishwe na picha mbili ndogo (Passport size) iliyopigwa siku za karibuni, anuani kamili ya makazi pamoja na namba ya simu.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI:
• Awe Raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na umri usiozidi miaka 60
• Awe na elimu ya darasa la Saba na kuendelea
• Awe na uwezo wa kutumia "Smartphone" katika miamala ya malipo
• Awe na uzoefu usiopungua miezi sita katika masuala ya kukusanya ushuru. Awe mwadilifu na mwaminifu na awe hajawahi kutiwa hatiani kwa kosa la jinai

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  Barua ya maombi iambatishwe na:
• Barua kutoka kwa wadhamini wawili ambao ni watumishi wa Serikali zikiwa na picha “Passport size" ya hivi karibuni, Anuani kamili ya makazi, pamoja na namba zao za simu.
• Barua ya Utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa.
• Wasifu (CV)
Waombaji watakaokuwa "Shortlisted" watajulishwa kwa njia ya simu tarehe ya usaili.
Barua ya maombi ya kazi iletwe kwa njia ya mkono katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuanzia tarehe ya tangazo hili au kwa njia ya posta kupitia anuani tajwa hapo chini kuanzia saa mbili kamili (2:00) asubuhi hadi saa 8:00 mchana. Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 23 Januari, 2020 saa 8:00 mchana.
Kila mwombaji anapaswa kutaja nafasi ya kazi anayoomba juu ya bahasha ya maombi.
Maombi yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Jiji, Halmashauri ya Jiji, Ukumbi wa Jiji, 1 Barabara ya Morogoro, S.L.P. 9084, 11882 - DAR ES SALAAM
Sipora J.Liana
MKURUGENZI WA JIJI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR-ES-SALAAM


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Accounting/ Finance jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 23rd January 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 16-01-2020
No of Jobs: 3
Start Publishing: 16-01-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 17-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.