Vacancy title:
23 Systems Administrator
Jobs at:
United Republic of Tanzania
Deadline of this Job:
7th December 2018
Duty Station:
Tanzania
Summary
Date Posted: 27th November 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time
JOB DETAILS:
Jamhuri ya muungano wa tanzania ofisi ya rais sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kumb.
Na ea.7/96/01/j/220 Tangazo la nafasi za kazi
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 118 kama inavyooneshwa katika tangazo hili.
Ofisi ya rais - tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI)
AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MIFUMO YA TEHAMA (Systems Administrator )
MAJUKUMU YA KAZI
SIFA ZA MWOMBAJI
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au Menejimenti ya Mifumo ya Habari. Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): MCSE Productivity Solutions, Expert Vmware, and Certified Professional - Data Center Virtualization (VCP-DCV) Storage (IBM, EMC, NETAPP) Certifications RHCE-Red Hat Certified Engineer CompTIA Server+ certification
MSHAHARA
Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara ya Serikali yaani TGS E kwa mwezi.
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
Job application procedure
HAYATAFIKIRIWA.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)
MUHIMU: KUMBUKA KUAMBATISHA BARUA YAKO YA MAOMBI YA KAZI ILIYOSAINIWA PAMOJA NA VYETI VYA ELIMU. ANUANI YA BARUA HIYO IELEKEZWE KWA
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
S.L.P 63100 DAR ES SALAAM.
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.