2 Mteknolojia Daraja II - Radiolojia Jobs at Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Wizara Ya Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
2 Mteknolojia Daraja II - Radiolojia

 

Jobs at:
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Wizara Ya Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto

Deadline of this Job:
23rd April 2019  

Duty Station:
Dar es Salaam , Tanzania , East Africa , 00000 , TZ

Summary
Date Posted: 11th April 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full_Time , Currency: TZS , Value: 1562000 , Minimum: 1093750 , Maximum: 4687500 , Period: MONTH

 

JOB DETAILS:
Tangazo La Ajira
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kupitia kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA. 10/128/01"C"/145 cha tarehe 26 Machi, 2019, inatangaza nafasi za wazi za kazi 48 za kada nane (8) za afya kujaza nafasi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa. A. Nafasi za kazi zinazotangazwa ni kama zifuatazo:
2 Mteknolojia Daraja II - Radiolojia.

Sifa za Elimu. Kuajiriwa waombaji wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la wataalam wa Radiolojia, (The Medical Radiology and Imaging Professionals Council).


Kazi na Majukumu:
• Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi
• Kuhakikisha picha za X-Ray zilizopimwa zina ubora unaohitajika.
• Kutuma picha za wagonjwa kwa madaktari wanaohusika na usomaji wa majibu ya vipimo vilivyofanyika.
• Kusimamia watumishi walio chini yake. Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
• Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization)
• Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
Mshahara - TGHS B

 

{module 312}

Job application procedure
Maombi yote yaambatanishwe na:
• Nakala ya cheti cha kuzaliwa
• Nakala ya cheti cha kidato cha nne na/au cha sita kulingana na kada ya mwombaji
• Nakala za vyeti vya taaluma (Shahada ya Uzamivu, Uzamili, Shahada, Stashahada, Astashahada na “Transcript") viambatanishwe kulingana na kada inayoombwa.
• Nakala ya cheti cha usajili wa taaluma husika
• Maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
• Picha ndogo (passport size) mbili za hivi karibuni
NB:
• Nakala za vyeti vyote vithibitishwe na Mahakama au Wakili aliyesajiliwa.
• Waombaji waliosoma nje ya Nchi, vyeti vyao vya Elimu ya Sekondari na Taaluma vinapaswa viwasilishwe pamoja na ithibati kutoka mamlaka husika.
D. Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta katika anuani ifuatayo: Katibu Mkuu (Afya), Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Chuo Kikuu Cha Dodoma, Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii, Jengo Na. 11,
S.L.P 743,
40478 DODOMA.
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 23/4/2019 Imetolewa na:
Emmanuel Malegi
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Afya 9/4/2019

 

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 23rd April 2019
Duty Station: Dar es Salaam , Tanzania
Posted: 11-04-2019
No of Jobs: 2
Start Publishing: 11-04-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 11-04-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.