Msaidizi Wa Kumbukumbu II Job at Nyang'hwale District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1163 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Msaidizi Wa Kumbukumbu II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Nyang'hwale District Council

Deadline of this Job:
24 February 2021  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, February 17, 2021 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kutokana na kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.170/521/01/'B'/29 ya tarehe 14 Januari, 2021 kuhusu ombi la kibali cha ajira Mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora (ORUTUMISHI).
Hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale anawatangazia waombaji wote raia wa Tanzania wenye sifa na uwezo kuomba nafasi moja (1) ya kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu II .

SIFA ZA MWOMBAJI
Cheti cha Kuhitimu kidato cha IV na VI. Cheti cha Astashahada (Technician Certicate - NTA LEVEL 5) cha Utunzaji wa Kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi.


Job Skills: Not Specified


MAJUKUMU YA KAZI
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka /mafaili yanayohitajika na wasomaji.
• Kuthibiti upokeaji, uandakishaji wa kumbukumbu/nyaraka.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and Boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi.
• Kuweka/kupanga kumbukumbu, nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika masjala /vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
• Kuweka kumbukumbu (barua , nyaraka nk) katika mafaili.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Education Experience: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI KWA UJUMLA
• Mwombaji awe ni Mtanzania asiezidi umri wa miaka 45 awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale.
• Mwombaji awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai, kufungwa jela au kupatikana na kosa lolote katika Utumishi wa Umma.
• Mwombaji aambatanishe taarifa zake binafsi (CV) ikionyesha sanduku la posta, E-mail namba za simu anazotumia na uzoefu wake kazini.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, vyeti vya kidato channe (IV) au sita (VI), cheti cha kuzaliwa na Picha 2 (passport size) za hivi karibuni.
• Mwombaji anatakiwa aambatanishe Vyeti vilivyo sainiwa na kupigwa mhuri (CERTIFIED COPY) wa Mwanasheria au Mahakama.
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 24/02/2021 saa 9:30 alasiri aidha maombi yote yawasilishwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi Mtendaji (W)
S.L.P 352, NYANG'HWALE
Tangazo hili pia linapatikana katika Tovuti ya Halmashauri www.nyanghwaledc.go.tz  na katika mbao za matangazo


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 24 February 2021
Duty Station: Tanzania
Posted: 17-02-2021
No of Jobs: 1
Start Publishing: 17-02-2021
Stop Publishing (Put date of 2030): 17-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.