Vacancy title:
Afisa Michezo Daraja La II (Games And Sports Officer Grade II)
Jobs at:
Public Service Recruitment SecretariatDeadline of this Job:
10th September 2019
Summary
Date Posted: Thursday, August 29, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Halmashauri ya Wilaya Busega , Halmashauri ya Wilaya Bariadi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 115 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.
AFISA MICHEZO DARAJA LA II (GAMES AND SPORTS OFFICER GRADE II) –
Nafasi hii ni kwa ajili ya Halmashauri ya Wilaya Busega.
MAJUKUMU YA KAZI
• Kufundisha fani mbalimbali kwa Waalimu wa vyuo, shule, na vituo vya Elimu na Mafunzo
• Kufundisha fani mbalimbali za michezo kwa waalimu, Makocha, viongozi wa vyama na vilabu vya michezo
• Kufundisha fani mbalimbali za michezo kwa Timu za Michezo mbalimbali.
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA MWOMBAJI: Kuajiriwa mwenye Shahada au Stashahada ya Juu ya Elimu ya Michezo (Physical Education) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Job Education Requirements: Not Specified
MSHAHARA: Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS D kwa mwezi.
{module 312}
Job application procedure
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika
Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika
Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010;
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria;
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 10 Septemba, 2019;
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.
• Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.