113 Mhifadhi Wanyamapori Daraja La II Jobs at Public Service Recruitment Secretariat - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
113 Mhifadhi Wanyamapori Daraja La II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Public Service Recruitment Secretariat

Deadline of this Job:
10th September 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, August 29, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Halmashauri ya Wilaya Busega , Halmashauri ya Wilaya Bariadi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 115 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili. .

MAJUKUMU YA KAZI
• Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi;
• Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi;
• kusimamia uwindaji wa kitalii na utalii wa picha;
• kulinda Nyara za Serikali;
• Kusimamia usafirishaji wa wanyamapori na nyara nje na ndani ya Nchi;
• Kusimamia matumizi ya magari ya doria;
• Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na
• kutunza takwimu zao;
• Kuratibu uingiaji wa wageni katika Mapori ya Akiba;
• Kudhibiti moto katika hifadhi;
• Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani;
• Kukusanya takwimu za wanyama na mimea kwenye hifadhi; na
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake.

Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI: Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Stashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Diploma in Wildlife Management) kutoka Chuo cha


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA: Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS C kwa mwezi.

 

{module 312}

Job application procedure
  Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika
Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika
Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010;
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria;
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 10 Septemba, 2019;
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.
• Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 10th September 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 29-08-2019
No of Jobs: 113
Start Publishing: 29-08-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 30-08-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.